MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
3305; Jiamini, amua.
3305; Jiamini, amua.Rafiki yangu mpendwa,Kila mtu kwenye maisha anajua nini hasa anachotaka kupata na nini hasa anachopaswa kufanya ili kupata anachotaka.Hayo yapo wazi kabisa kwa mtu, lakini kwa nje inaweza kuonekana tofauti.Kwa nje watu wengi wanaonekana kama hawajui nini wanataka na nini wanapaswa kufanya ili kupata matokeo ya tofauti.Wengi wanakwepa