MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
3314; Muda na usumbufu.
3314; Muda na usumbufu.Rafiki yangu mpendwa,Imekuwa ni kawaida kwa watu kusema kama wangepata muda zaidi basi wangeweza kufanya makubwa. Hiyo imekuwa ni njia nyingine ya watu kuonyesha kwamba kinachowakwamisha ni ufinyu wa muda.Lakini tunajua ukweli kwamba muda uliopo ni sawa kwa kila mtu.Kwamba hakuna mtu yeyote anayeweza kupata muda wa