Category Archives: BIASHARA LEO

Mbinu za kibiashara unazoweza kutumia kukuza biashara yako na kufikia mafanikio makubwa.

BIASHARA LEO; Tofauti Ya Kuuza Na Kuchuuza…

By | August 31, 2017

Kama kuna kitu kimoja ambacho kila mtu anapaswa kujifunza hapa duniani, basi ni jinsi ya kuuza. Hii ni muhimu sana kwa sababu, maisha yetu yote, kuna vitu tunauza, hata kama hatupo kwenye biashara. Kwenye kazi, unauza muda na utaalamu au uzoefu wako. Kwenye uongozi unauza maneno na sera. Kwenye mahusiano (more…)

BIASHARA LEO; Acha Uvivu Katika Kufanyia Kazi Ushauri Wa Kibiashara…

By | August 30, 2017

Pamoja na ushauri mzuri wa kibiashara unaoweza kuupata kutoka kwa watu wengine, lipo jambo moja muhimu sana unalopaswa kujua, biashara yako ni tofauti na ya kipekee. Unaweza kupewa ushauri mzuri na bora kabisa wa biashara, ukautumia kama ulivyopewa na bado biashara yako ikashindwa. Tatizo kubwa ni kwamba wafanyabiashara wengi ni (more…)

BIASHARA LEO; Mteja Matatizo Yake Yanamtosha, Tafadhali Usimwongezee Matatizo Yako…

By | August 29, 2017

Moja ya vitu unapaswa kuelewa kwenye maisha kwa ujumla ni kwamba kila mtu anapigana vita yake. Usione watu kwa nje wanacheka, ndani wana changamoto na matatizo ambayo wanakabiliana nayo. Hivyo pia kwenye biashara, mteja anapokuja kwenye biashara yako, jua ana matatizo na changamoto zake nyingi tu na za kumtosha kabisa. (more…)

BIASHARA LEO; Wewe unapeleka nini cha tofauti kwenye ulimwengu wa biashara?

By | August 28, 2017

Tumekuwa tunajifunza kila mara umuhimu wa biashara kujitofautisha. Kwamba ili biashara iweze kufanikiwa, lazima iwe tofauti na biashara nyingine, lazima mteja ajue kuna kitu anakipata kwenye biashara hiyo, ambacho hawezi kukipata sehemu nyingine yoyote. Lakini hili pia ni muhimu mno kwa wamiliki wa biashara. Ni muhimu kila mmiliki wa biashara (more…)

BIASHARA LEO; Usifikirie Kuhusu Washindani, Fikiria Kuhusu Wateja Wako…

By | August 25, 2017

Nikupe siri moja muhimu kuhusu biashara, haipo biashara ambayo utaweza kufanya wewe pekee hapa duniani. Hata kama utajiwekea hatimiliki ya wazo lako la biashara, watu watabadili kidogo na kufanya kama wanavyotaka wao wenyewe. Wafanyabiashara wengi wamekuwa wanapoteza muda na rasilimali nyingi kuangalia washindani wa kibiashara wanafanya nini kuliko wanavyotumia kwenye (more…)

Uongo Huu Unaojiambia Kila Siku, Ni Adui Mkubwa Wa Mafanikio Yako.

By | August 1, 2017

Ni rahisi sana kufikiria kwamba adui mkubwa wa biashara yako ni washindani wako. Hivyo kuangalia namna ya kuwashinda na kuwaangusha ili uweze kufanikiwa kwenye biashara hiyo. Hapo ndipo wengi wanapokosea, kwa sababu wanajaribu kupambana na mtu ambaye siyo sahihi. Hivyo hata wapambane kiasi gani, bado hilo haliwasaidii. Kabla hujafikiria kwamba (more…)

BIASHARA LEO; Biashara Yako Inavyozidi Kukua, Unahitaji Kubadili Mikakati…

By | July 31, 2017

Moja ya sababu inayopelekea biashara nyingi kushindwa kukua na kudumaa, ni wamiliki wa biashara wenyewe. Kwa sababu pale biashara inapokua, mambo yanabadilika, lakini wamiliki wa biashara hizo hawabadiliki. Hivyo wanakuwa kikwazo kwenye ukuaji wa biashara zao. Kwa mfano kama umeanza biashara na mtaji kidogo, labda wa milioni au chini ya (more…)

BIASHARA LEO; Miaka 20 Ijayo Mteja Atakutafuta?

By | July 29, 2017

Watu wote ambao wanaingia kwenye biashara kwa msukumo wa kupata faida pekee, huwa hawadumu muda mrefu. Ni sheria ya dunia kwamba chochote ambacho hakipo kwenye misingi sahihi, kinaanguka. Wale wanaofikiria faida pekee, wanafanya kila wawezalo kupata faida, hata kama linaharibu mahusiano na wateja. Kipimo kizuri sana kwako kuepuka hilo ni (more…)

BIASHARA LEO; Malengo Yako Kibiashara Yanakusukuma Kiasi Gani?

By | July 28, 2017

Moja ya sababu za biashara nyingi kudumaa, yaani biashara kuwa pale pale miaka nenda miaka rudi, ni wamiliki wa biashara hizo kuwa na malengo ambayo hayaendani na biashara zao. Labda malengo yanakuwa madogo sana, kiasi kwamba wanayafikia bila ya kuhitaji juhudi za ziada. Kwa mfano kama unataka biashara ikupe hela (more…)