Category Archives: BIASHARA LEO

Mbinu za kibiashara unazoweza kutumia kukuza biashara yako na kufikia mafanikio makubwa.

BIASHARA LEO; Kitu Hiki KImoja Kitakufanya Ushindwe Kwenye Biashara.

By | March 29, 2015

Moja ya kauli za kusikitisha sana ninayokutana nayo kwa watu ni kwmaba, najaribu kufanya hii biashara nione kama itanipa faida. Kwa kauli hii tu tayari umeshashindwa kwenye biashara unayotaka kufanya. Biashara haijaribiwi, ila inafanywa. Unaposema unajaribu biashara maana yake unaifanya kwa majaribio tu na kama majaribio yako yatakwenda vizuri utaendelea (more…)

BIASHARA LEO; Biashara Unayofanya Sasa, Au Utakayoanza Sasa Sio Biashara Utakayofanya Milele.

By | March 28, 2015

Moja ya changamoto ambazo zinawazuia watu wengi kuingia kwenye biashara au kukuza biashara zao ni kufikiria ni biashara gani sahihi kwao kufanya. Watu wengi hupoteza muda mwingi wakitafuta wazo bora kabisa la biashara ambalo litawaletea faida kubwa na mafanikio makubwa pia. Wafanyabiashara wengine huumia sana pale ambapo wazo lao la (more…)