Category Archives: BIASHARA LEO

Mbinu za kibiashara unazoweza kutumia kukuza biashara yako na kufikia mafanikio makubwa.

BIASHARA LEO; Wateja Hawafanani…

By | July 31, 2018

Nimewahi kukuambia usifanye mabadiliko makubwa kwenye biashara yako kwa sababu ya maoni ya mteja mmoja. Maana kumekuwa na tabia ya wafanyabiashara kukata tamaa au kupata hamasa kubwa kwa sababu ya maoni ya mteja mmoja au wachache. Wanakata tamaa pale mteja anapowaambia kwamba wanachouza hakifai au siyo wanachotaka, hivyo wanaona ndiyo (more…)

BIASHARA LEO; Jinsi Ya Kumjibu Mteja Anayekuambia Wengine Wanauza Kwa Bei Ndogo Kuliko Wewe…

By | July 30, 2018

Kwenye biashara yako, utakutana na wateja wengi wanaotaka uwapunguzie bei. Sasa kama bei zako umepanga kwa usahihi, kwa kuzingatia thamani ambayo wateja wanaipata, hupaswi kupunguza bei. Kwa sababu tabia ya kupunguza bei ina madhara makubwa kwenye biashara yako kwa baadaye, hata kama unaona kwa sasa ina manufaa. Mara kwa mara (more…)

BIASHARA LEO; Nunua Uza Au Uza Nunua.

By | July 29, 2018

Kwa wale ambao hawajui ni biashara gani wafanye, Wale ambao wanataka kuingia kwenye biashara lakini hawajui waanzie wapi, Na hata kwa wale ambao wanataka kuingia kwenye biashara lakini hawana mtaji wa kuanza biashara, Zipo njia mbili za kuingia kwenye biashara na hata kuanza biashara yoyote. Njia ya kwanza ni kununua (more…)

BIASHARA LEO; Anza Kufanya Mauzo Rahisi Kabla Ya Magumu…

By | July 28, 2018

Wakati mzuri kabisa wa kumuuzia mteja mgumu kununua kwako, ni baada ya kuwa umekamilisha mauzo na mteja mwingine. Unapokuwa umekamilisha mauzo unakuwa na hali ya kujiamini na unakuwa na ushawishi mkubwa sana. Hivyo kama una mteja ambaye ni mgumu kununua kwako, anza kuwauzia wateja ambao ni rahisi kununua kwako, kisha (more…)

BIASHARA LEO; Uliwezaje Kuwashawishi Marafiki Zako, Hapo Ndipo Ilipo Siri Ya Kuwashawishi Wateja Wako…

By | July 27, 2018

Nianze na swali hili muhimu sana, je umewahi kuwashawishi marafiki zako au watu wako wa karibu wakafanya kitu fulani ambacho walikuwa hawajafanya na baadaye wakakushukuru sana? Labda uliwashawishi kwenda kula kwenye mgahawa fulani, ambao walikuwa na wasiwasi nao, ukawapa uhakika, wakaenda kula na baadaye wakakushukuru sana. Au labda ni kipindi (more…)

BIASHARA LEO; Usikimbie Kabla Hata Wateja Hawajakujua Vizuri…

By | July 26, 2018

Umewahi kupita mahali, ukaona biashara mpya imefunguliwa, ukajiambia siku moja utaenda kununua pale, utakapokuwa na uhitaji. Unapita tena siku nyingine unakuta biashara hiyo ipo, unazidi kuamini suluhisho lako limepatikana. Lakini inatokea siku una uhitaji, unaenda kwenye biashara hiyo na kuambiwa ilishafungwa siku nyingi? Kila mmoja wetu amewahi kukutana na hali (more…)

BIASHARA LEO; Jinsi Ya Kuwafanya Wateja Wasikutoroke…

By | July 25, 2018

Kwanza kabisa unapaswa kujua kwamba wateja halisi wa biashara yako wanafanya manunuzi ya kununua kwa hisia na siyo kwa fikra au mantiki. Pia unapaswa kujua kwamba wateja wananunua kwa sababu zao binafsi na siyo kwa sababu wewe unauza. Lakini pia unapaswa kujua, kwamba wateja watanunua kwako, kama wanavutiwa kufanya hivyo, (more…)

BIASHARA LEO; Bobea Kwenye Biashara Unayofanya…

By | July 24, 2018

Huwezi kuwa na majibu ya kila kitu kwenye maisha, lakini unapaswa kuwa na majibu ya kila kitu kwenye biashara yako. Unapaswa kujua kila kitu kinachohusiana na biashara yako, kiasi kwamba unaweza kujibu chochote ambacho mteja anakuuliza. Na hiyo ndiyo kazi yako kama mfanyabiashara, kitu pekee kinachokutofautisha na wachuuzi. Mteja anapofika (more…)

BIASHARA LEO; Pima Kila Unachofanya Kwenye Biashara Yako…

By | July 23, 2018

Kuna mambo mengi sana unayoweza kufanya kwenye biashara yako, lakini huwezi kufanya yote, huna muda huo wala nguvu hizo. Hivyo unahitaji kuwa na kipaumbele wa nini ufanye na nini usifanye, kwenye vile utakavyofanya, nini uanze kufanya kabla ya kingine. Kwenye kuchagua kipi ufanye, fanya kile ambacho unaweza kupima kwenye biashara (more…)

BIASHARA LEO; Usiwapoteze Wateja Wako Kirahisi Hivi…

By | July 22, 2018

Zipo njia nyingi sana za kuwapoteza wateja kwenye biashara yako. Na kwa njia zote, wewe mwenyewe ndiye unayechagua kuwapoteza wateja. Kuna mambo unakuwa umefanya au kutokufanya, ambayo yanachangia wateja kuondoka kwenye biashara yako. Japokuwa njia nyingine ni ngumu kwa upande wako, yaani zikishaanza unaweza usiweze kuzuia kwa haraka, zipo njia (more…)