Category Archives: FALSAFA MPYA YA MAISHA

Hapa unapata makala zinazokuwezesha wewe kujijengea falsafa mpya ya maisha yako. Ni kupitia falsafa yako ya maisha ndio unaweza kuwa na maisha bora yenye furaha na mafanikio.

FALSAFA MPYA YA MAISHA; Upacha wa dunia na jinsi ya kuutumia kuwa na maisha bora.

By | November 15, 2015

Habari za leo mwanafalsafa mwenzangu? Naamini falsafa hii mpya ya maisha imeanza kushika kasi kwenye maisha yako, nina imani kabisa ya kwamba sasa unafikiri vyema kabla ya kufanya maamuzi ya maisha yako kwa kuangalia falsafa yetu ya maisha inasemaje. Hongera sana kwa hili kwani ndio linafanya tuweze kuishi maisha tunayoyafurahia (more…)

FALSAFA MPYA YA MAISHA; Kuwa Na Maisha Bora, Nenda Kinyume na Tabia Za Asili Za Binadamu.

By | November 8, 2015

Habari za leo mwanafalsafa? Karibu tena kwenye kipengele hiki cha FALSAFA MPYA YA MAISHA ambapo tunashirikishana maarifa muhimu ya kuweza kujenga maisha bora sana kwetu. Kama ambavyo wote tunajua, maisha tuliyonayo hapa duniani ni haya tu. Hatutarudi kuja kuishi tena baada ya kuondoka hapa duniani. Hivyo ni jukumu la kila (more…)

FALSAFA MPYA YA MAISHA; Hakuna Anayejua Kwa Hakika Kile Anachofanya, Na Jinsi Unavyoweza Kutumia Hali Hiyo Vizuri.

By | November 1, 2015

Habari za leo mwanafalsafa mwenzangu? Karibu tena jumapili ya leo tuendelee kushirikishana misingi muhimu kwenye falsafa yetu hii mpya ya maisha. Kupitia falsafa hii tunaishi yale maisha ambayo tunayapenda na hivyo kuwa bora kwetu bila ya kujali wengine wanachukuliaje. Kuna changamoto moja kubwa sana ya maisha ya kila mtu, na (more…)

FALSAFA MPYA YA MAISHA; Usipigane Na Usichokitaka Na Jinsi Ya Kupata Unachotaka.

By | October 25, 2015

Habari mwanafalsafa? Karibu tena kwenye mfululizo wa makala hizi za falsafa mpya ya maisha ambapo tunaendelea kuongeza misingi muhimu kwenye falsafa yetu hii mpya ya maisha. Kumbuka misingi hii tunayojijengea ni muhimu sana na inabidi tuiishi ili kweli tuweze kuona mabadiliko makubwa kwenye maisha yetu. Katika moja ya misingi muhimu (more…)

FALSAFA MPYA YA MAISHA; Hii Hapa Ni Njia Iliyo Wazi Kabisa Kwako Kufikia Mafanikio Makubwa.

By | October 18, 2015

Tunaendelea kuongeza misingi kwenye falsafa yetu hii mpya ya maisha. Kumbuka kila mara kufuata misingi hii. Usiache hata siku moja kufuata misingi. Misingi hii tunayoiweka kwenye falsafa yetu mpya ya maisha ni misingi ambayo imedhibitishwa kuleta matokeo mazuri kwenye maisha. Ni misingi ambayo imetumiwa enzi na enzi na imekuwa inaleta (more…)

FALSAFA MPYA YA MAISHA; Njia Ya Uhakika Ya Kuwafanya Watu Wakupe Kile Unachotaka.

By | October 11, 2015

Habari mwanafalsafa? Naamini unaendelea kuweka misingi hii ya falsafa kwenye maisha yako ili yaendelee kuwa bora kadiri siku zinavyokwenda. Nikukumbushe tena ya kwamba maisha bila ya falsafa ni maisha ambayo hayana thamani ya kuishi. Bila ya falsafa utajikuta unafanya mambo ambayo hayana tija kwako au hayawezi kukupeleka kule unakotaka kufika. (more…)

FALSAFA MPYA YA MAISHA; Kitu Kimoja Ambacho Wanafalsafa Wote Wanakubaliana Ndio Kimekufikisha Hapo Ulipo.

By | October 4, 2015

Habari za leo mwanafalsafa? Unaendelea kujifunza kuhusu falsafa yako mpya ya maisha? Hongera sana. Na je umeshaanza kuyaweka haya unayojifunza kwenye maisha yako? kama ndio hongera sana. Kama sio unasubiri nini? Maisha uliyonayo ndio haya, na wakati huu ulionao ndio una uhakika nao, hivyo ndio wakati wa kuishi yale maisha (more…)

FALSAFA MPYA YA MAISHA; Jinsi Ya Kuimarisha Falsafa Yako Mpya Ya Maisha.

By | September 27, 2015

Habari mwanafalsafa? Ndio, wewe ni mwanafalsafa, na wala huhitaji kusubiri mpaka mtu akuite hivyo. Chimbuko la neno falsafa au kwa kiingereza philosophy ni neno la kigiriki filosofia ambalo maana yake ni kupenda busara/hekima. Kwa kifupi ni kupenda kujifunza na kufikiri zaidi juu ya kile kitu unachofanya au vile unavyoishi. Kwa (more…)

FALSAFA MPYA YA MAISHA; Nguvu Moja Unayomiliki Yenye Uwezo Wa Kuibadili Dunia.

By | September 20, 2015

Karibu tena kwenye makala ya wiki hii ya FALSAFA MPYA YA MAISHA. Naamini umekuwa unajifunza na kujijengea maisha mapya kupitia falsafa hii ambayo tunaitengeneza. Kama ambavyo tumeshajifunza, iwe unajua au hujui, unaishi falsafa fulani. Sasa kama unaishi falsafa ambayo huijui ni vigumu sana kuwa na maisha ya furaha na mafanikio. (more…)

FALSAFA MPYA YA MAISHA; Kitu Kimoja Ambacho Kila Mmoja Wetu Anapigania Kukipata Na Jinsi Ya Kukipata Kwa Uhakika.

By | September 13, 2015

Karibu tena kwenye mfululizo huu wa makala za FALSAFA MPYA ya maisha, kama umekuwa unafuatilia makala zote tangu tumeanza utakuwa umeshaanza kuona umuhimu wa kuishi kwa falsafa na sio kuishi kwa sababu umezoea kuishi. Kabla hujafanya jambo lolote, kabla hujachukua maamuzi yoyote ni lazima uchukue muda kidogo na kutafakari je (more…)