Category Archives: FALSAFA YA USTOA

Falsafa ya Ustoa (STOICISM) ni falsafa inayotufundisha jinsi ya kuwa na maisha bora na yenye furaha. Ni falsafa inayotfundisha namna ya kuishi maisha yenye maana kwetu na wale wanaotuzunguka. Inatufundisha namna ya kuishi kwa sheria za asili na kuwa na mategemeo sahihi kwenye maisha yetu.
Karibu usome makala za falsafa hii ya Ustoa.

Wastoa wa kwanza.

By | March 18, 2017

  Falsafa ya ustoa ilianzia nchini Ugiriki. Zeno aliyeishi miaka 333–261 kabla ya kuzaliwa kristo, ndiye baba wa ustoa. Alianza kuvutiwa na falsafa kupitia vitabu ambavyo baba yale alikuwa akimletea asome. Baadaye alienda maktaba kujifunza zaidi kuhusu falsafa na alitaka kujifunza kupitia Socrates. Hapo ndipo alipokutana na mwanafalsafa Crates ambaye (more…)

Falsafa na maisha ya watu.

By | March 18, 2017

  Kumekuwepo na mifumo mbalimbali ya falsafa tangu kuwepo kwa dunia. Kwa sababu mara zote watu wamekuwa wakihoji juu ya mambo mbalimbali, kama uwepo wa dunia na mengine. Falsafa ilikuwa ikichukuliwa kama kitu cha kufikiria na kubishana pekee. Mpaka wakati wa mwanafalsafa Socrates, ambaye hakuishia tu kufikiri na kuhoji, bali (more…)

Utangulizi Wa Kitabu Cha Ustoa; A GUIDE TO GOOD LIFE.

By | March 18, 2017

Mambo muhimu niliyojifunza kwenye utangulizi wa kitabu A GUIDE TO GOOD LIFE. Hichi ni kitabu kilichoandikwa na mwandishi na mwanafalsafa Willium ambaye alikuwa akitafiti kuhusu Tamaa. Baada ya kuangalia dini zinasemaje kuhus tamaa, hakupata maarifa ya kutosha, ndipo alipogeukia falsafa na kukutana na falsafa ya ustoa, ambayo imeelezea kwa kina (more…)