Usidharau Ushindi Mdogo Mdogo Unaoupata Kila Siku, Ni Muhimu Kwa Mafanikio Yako, SEHEMU YA PILI.
Habari za leo rafiki? Upo vizuri? Hongera sana, leo ni siku mpya ya mwezi mpya. Mwaka ndio unakatika hivyo, vipi malengo na mipango yako kwa mwaka huu? Vinaenda sawa na kazi ya siku zinavyokwenda? Hebu tumia muda mchache leo kutafakari hilo. Wiki iliyopita nilikuahidi kuandika makala niliyokusudia kuandika wiki ile (more…)