Mawazo 10 ya kuingiza fedha kwa kipaji.
Mawazo 10 ya kuingiza fedha kwa kipaji. Kipaji ni kile kitu ambacho kwako ni kama mchezo, lakini kwa wengine ni kazi ngumu. Wewe unafanya bila kuchoka, wakati wengine wanachoka kabla hata hawajaanza kufanya. Hakuna asiye na kipaji, ila kuna wengi wasiojua vipaji vyao. Pambana ujue kipaji chako na kisha kitumie (more…)