Category Archives: MAWAZO 10

Mawazo 10 ya kuongeza mauzo kwenye biashara.

By | July 13, 2021

Mawazo 10 ya kuongeza mauzo kwenye biashara. Mauzo ndiyo injini ya biashara yoyote ile. Bila mauzo hakuna fedha inayoingia kwenye biashara na hapo hakuna biashara. Kila biashara inaweza kuongeza mauzo zaidi ya inavyofanya sasa, hata kama mauzo yako juu kiasi gani. Hapa ni mawazo 10 ya kuongeza mauzo kwenye biashara (more…)

Mawazo 10 ya kuingiza fedha kupitia

By | June 29, 2021

Mawazo 10 ya kuingiza fedha kupitia ushereheshaji. Watu huwa wanafanya matukio mbalimbali kwenye maisha na kuhitaji washereheshaji (MC) wa kuyaendesha matukio hayo. Hili linatoa fursa kwa mtu kuweza kuingiza kipato kama mshereheshaji. Hapa kuna mawazo 10 ya kuingiza kipato kupitia ushereheshaji; Kuendesha shughuli za sherehe kwa watu binafsi. Kuendesha mikutano (more…)

Mawazo 10 ya kuingiza fedha kupitia mauzo.

By | June 27, 2021

Mawazo 10 ya kuingiza fedha kupitia mauzo. Kama kuna watu wamefanikiwa kuleta mabadiliko makubwa duniani basi ni watu wa mauzo. Wagunduzi mbalimbali waliweza kugundua vitu vizuri, lakini ni watu wa mauzo ndiyo walioweza kuwashawishi watu wakubali kununua vitu hivyo. Kwa kuwa watu wana mahitaji mbalimbali, sehemu ya mauzo ni muhimu (more…)