Kwenda Mbinguni Bila Kufa
“A normal human being does not want the Kingdom of Heaven: he wants life on earth to continue.” – George Orwell Kila mtu anataka kwenda mbinguni ila hakuna aliye tayari kufa. Jidanganye kwenye yote lakini usisahau siku zako zinahesabika, leo ikiisha ni siku umeipunguza kwenye uhai wako. Ifanye kila siku (more…)