Category Archives: NENO LA LEO

Jifunze kila siku kupitia usemi mbalimbali.

NENO LA LEO; Faida Tatu Za Kazi…

By | February 16, 2015

“Work spares us from three evils: boredom, vice, and need”. Voltaire Kazi inatuepusha na mambo matatu mabaya; kuchoka kwa kutofanya lolote, maovu na mahitaji. Unaweza kuona kama kazi ni kitu kibaya sana ambacho kinakutesa. Na wakati mwingine kutamani kwamba hata kazi zisingekuwepo. Ila jiulize kama usingekuwa na kazi, usingechoka tu (more…)

NENO LA LEO; Jinsi Unavyoweza Kutumia Uwezo Mkubwa Wa Akili Yako

By | February 15, 2015

”Without inspiration the best powers of the mind remain dormant. There is a fuel in us which needs to be ignited with sparks”. Johann Gottfried Von Herder Bila ya hamasa nguvu kubwa ya akili yako inadumaa. Kuna mafuta yako ndani yetu ambayo yanahitaji kuwashwa na cheche. Akili yako ina uwezo (more…)

NENO LA LEO; Kila Mtu Ni Mwekezaji…

By | February 14, 2015

“We are all inventors, each sailing out on a voyage of discovery, guided each by a private chart, of which there is no duplicate. The world is all gates, all opportunities”. Ralph Waldo Emerson Sisi wote ni wawekezaji, kila mmoja anafuata uelekeo wake, akiongozwa na ramani yake mwenyewe ambayo haifanani (more…)

NENO LA LEO; Haijalishi Umeshindwa Mara Ngapi…

By | February 13, 2015

“Ever tried. Ever failed. No matter. Try Again. Fail again. Fail better”. Samuel Beckett Umewahi kujaribu. Umewahi kushindwa. Haijalishi. Jaribu tena. Shindwa tena, Shindwa Vizuri. Hijalishi umejaribu na kushindwa mara ngapi, kukata tamaa hakutakufanya upate ulichotaka. Endelea kujaribu tena na tena na tena na kadiri unavyoshindwa ndio utafikia mafanikio yako. (more…)

NENO LA LEO; Haijalishi Umeshindwa Mara Ngapi…

By | February 13, 2015

“Ever tried. Ever failed. No matter. Try Again. Fail again. Fail better”. Samuel Beckett Umewahi kujaribu. Umewahi kushindwa. Haijalishi. Jaribu tena. Shindwa tena, Shindwa Vizuri. Hijalishi umejaribu na kushindwa mara ngapi, kukata tamaa hakutakufanya upate ulichotaka. Endelea kujaribu tena na tena na tena na kadiri unavyoshindwa ndio utafikia mafanikio yako. (more…)

UKURASA WA 43; Ushauri Wa Bure Una Gharama Kubwa.

By | February 12, 2015

Ushauri wa bure hauna gharama mpaka pale utakapoanza kuutumia. Siku hizi kila mtu anajua kutoa ushauri, kuwa makini sana kabla hujatumia ushauri wowote unaopewa. Hasa ushauri unaotolewa na kila mtu. Kuna maneno rahisi ya mtaani utasikia biashara fulani inalipa kweli, fulani kaanza kuifanya na sasa hivi yuko vizuri. Au utasikia (more…)

NENO LA LEO; Kampuni Zinazokufa Na Kampuni Zinazofanikiwa….

By | February 12, 2015

“Companies that solely focus on competition will ultimately die. Those that focus on value creation will thrive.” Edward de Bono Kampuni zinazoweka mkazo kwenye kushindana zinakufa mara moja. Kampuni zinazoweka mkazo kwenye kutengeneza thamani zinastahimili. Ni vigumu sana kushinda kwenye kushindana, maana unapoingia kwenye mchezo wa ushindani kila mtu anatumia (more…)

NENO LA LEO; Siku Ya Furaha, Kifo Cha Furaha…

By | February 11, 2015

“As a well spent day brings happy sleep, so a life well spent brings happy death.” Leonardo da Vinci Kama ilivyo siku iliyotumiwa vizuri  huleta usingizi wa furaha, ndivyo ilivyo maisha yaliyotumiwa vizuri huleta kifo cha furaha. Huna haja ya kujali kama ukifa itakuwaje, tunajua kila mtu atakufa na hivyo (more…)

NENO LA LEO; Hatari Kubwa Inayokunyemelea…

By | February 10, 2015

“The greater danger for most of us lies not in setting our aim too high and falling short; but in setting our aim too low, and achieving our mark.” Michelangelo Hatari kubwa iliyopo ndani yetu sio kuweka malengo makubwa na kushindwa kuyafikia, bali kuweka malengo madogo na kuyafikia. Kila mmoja (more…)

UKURASA WA 40; Amua Kuwa Wewe…

By | February 9, 2015

Duniani kuna watu zaidi ya bilioni saba. Lakini katika watu wote hawa, hakuna aliyefanana na wewe moja kwa moja. Ulivyo wewe, uko wewe tu dunia nzima. Hajawahi kuwepo kama wewe na hatakuja kuwepo mwingine kama wewe. SOMA; Fikra TANO Zinazoua Mafanikio Na Jinsi Ya Kuziepuka. Sasa kwanini unahangaika kuwa kama (more…)