Category Archives: NENO LA LEO

Jifunze kila siku kupitia usemi mbalimbali.

NENO LA LEO; Kwa Kufanya Hivi Umejilaani Mwenyewe.

By | January 12, 2015

You may be disappointed if you fail, but you are doomed if you don’t try. –Beverly Sills Unaweza kukatishwa tamaa pale unaposhindwa ila umejilaani mwenyewe kama hutojaribu tena. Kushindwa ni sehemu ya safari inayoelekea kwenye mafanikio. Kama utakubali kukatishwa tamaa na kushindwa utasahau kabisa kuhusu mafanikio. Ila kama utajaribu tena (more…)

NENO LA LEO; Hivi Ndivyo Unavyopoteza Nguvu Zako.

By | January 10, 2015

The most common way people give up their power is by thinking they don’t have any. –Alice Walker Njia maarufu ambayo watu wanatumia kupoteza nguvu zao ni kwa kufikiri kwamba hawana nguvu. Usijidanganye tena, unazo nguvu kubwa sana za kukuwezesha kutengeneza maisha unayotaka. Anza sasa kutumia nguvu hizo na ubadili (more…)

NENO LA LEO; Hiki Ndio Kitu Cha Wewe Kuanza Kufanya.

By | January 9, 2015

Do what you can, where you are, with what you have. –Teddy Roosevelt Fanya kile unachoweza kufanya, hapo ulipo na kwa kutumia kile ambacho unacho. Swali; Sasa mimi naweza kufanya nini kwa hapa nilipo? Jibu; Fanya kile unachoweza kufanya, hapo ulipo na kwa kutumia kile ambacho unacho. Kumbuka kauli mbiu (more…)

NENO LA LEO; Huu Ndio Mwanzo Wa Mwisho Wa Maisha Yetu.

By | January 8, 2015

Our lives begin to end the day we become silent about things that matter. –Martin Luther King Jr. Maisha yetu yanaanza kufikia mwisho pale tunapokaa kimya kwa mambo ambayo tunayajali. Kama kuna jambo ambalo unalijali sana kwenye maisha yako usilikalie kimya hata kama mambo ni magumu kiasi gani. Endelea kupigania (more…)

NENO LA LEO; Kitu Hiki Kimoja Kitakufanya Uache Kukosoa Wengine

By | January 6, 2015

Let the refining and improving of your own life keep you so busy that you have little time to criticize others. –H. Jackson Brown, Jr. Fanya jukumu la kubadili na kuboresha maisha yako liwe muhimu sana kwako na lichukue muda wako mwingi kiasi kwamba ukose muda wa kukosoa wengine. Binadamu (more…)

NENO LA LEO; Haijalishi Ni Mwendo Gani Unao Bali…

By | January 5, 2015

It does not matter how slowly you go as long as you do not stop. –Confucius Haijalishi una mwendo mdogo kiasi gani iwapo hutosimama. Kukimbia kwa kasi sana halafu ukasimama ni mbaya kuliko kwenda taratibu na bila ya kusimama. Unapoanza jambo lolote ni muhimu kukomaa nalo mpaka ufikie mafanikio. Hata (more…)

NENO LA LEO; Hawa Ndio Watu Wenye Furaha Zaidi.

By | January 4, 2015

Remember that the happiest people are not those getting more, but those giving more. –H. Jackson Brown, Jr. Kumbuka kwamba watu wenye furaha zaidi sio wale wanaopokea vingi bali wale wanaotoa vingi. Huwezi kuwa na furaha kwa kuwa mtu wa kupokea tu. Ukishakuwa mtu wa kupokea tu unaweza kujiona wa (more…)

NENO LA LEO; Gharama Ya Elimu Na Gharama Ya Ujinga.

By | January 3, 2015

Education costs money. But then so does ignorance. –Sir Claus Moser Elimu inagharimu fedha, vile vile hata ujinga unagharimu fedha. Gharama ya elimu utailipa kwa muda mfupi. Gharama ya ujinga utailipa miaka yako yote. Hakikisha kila siku unajifunza, hili ndio hitaji la chini sana la kuweza kufikia mafanikio. Nakutakia siku (more…)

NENO LA LEO; Umuhimu Wa Kuchepuka…

By | January 2, 2015

Without deviation from the norm, progress is not possible. –Frank Zappa Bila ya kuchepuka ni vigumu kuona mabadiliko/mafanikio. Kama unafanya kile ambacho kila mtu anafanya, utaishia kupata matokeo ambayo kila mtu anapata. Na mara nyingi matokeo ambayo kila mtu anapata ni ya kawaida. Hivyo unapokwenda na kundi unaishia kuwa wa (more…)