Category Archives: NENO LA LEO

Jifunze kila siku kupitia usemi mbalimbali.

NENO LA LEO; Kuhusu Kuendesha Siku Au Kuendeshwa na Siku.

By | November 28, 2014

Either you run the day, or the day runs you. –Jim Rohn Kwenye siku yako ni labda unaiendesha siku au siku inakuendesha wewe. Unaiendesha siku pale ambapo unakuwa na malengo na mipango yako ambayo unaifuata. Unaendeshwa na siku pale ambapo unafanya kile kinachotokea mbele yako. NINAJUA UNAJUA UNACHOTAKIWA KUFANYA, FANYA (more…)

NENO LA LEO; Unachohitaji Ili Kubadili Maisha Yako.

By | November 27, 2014

You can never cross the ocean until you have the courage to lose sight of the shore. –Christopher Columbus Huwezi kuivuka bahari mpaka pale utakapokuwa na ujasiri wa kupoteza taswira ya ufukwe. Tunapenda vitu vizuri lakini tunaogopa kupoteza tulivyo navyo. Huwezi kupata vitu vipya kama hutaacha hivyo ulivyonavyo sasa. Nakutakia (more…)

NENO LA LEO; MUDA MZURI WA KUPAMDA MTI.

By | November 26, 2014

The best time to plant a tree was 20 years ago. The second best time is now. Muda mzuri wa kupanda mti ilikuwa miaka 20 iliyopita. Muda mwingine mzuri ni sasa. Kila kitu kinahitaji maandalizi ya muda mrefu. Hivyo ili kuwa na maisha bora baadae inabidi uanze kufanya mabadiliko sasa. (more…)

NENO LA LEO; Kuhusu Fedha Kutonunua Furaha.

By | November 24, 2014

Watu wote wanaosema fedha haiwezi kununua furaha nao hawana fedha za kuwatosha. Sijawahi kumsikia tajiri akitumia kauli hiyo kwamba fedha haiwezi kununua furaha. Hivyo basi badala ya kukubali tu kauli hiyo kwa nini usiifanyie majaribio? Kuwa na fedha nyingi halafu uone kama kweli zinaweza kununua furaha au la. Nakutakia siku (more…)