Category Archives: NENO LA LEO

Jifunze kila siku kupitia usemi mbalimbali.

NENO LA LEO; Kuhusu Kupoteza Fursa

By | October 28, 2014

Many an opportunity is lost because a man is out looking for four-leaf clovers. Fursa nyingi zinapotea kwa sababu watu wanatafuta bahati. Acha kutafuta bahati, fanyia kazi kila fursa inayokuja mbele yako. Kumbuka bahati ni pale maandalizi yanapokutana na fursa. Nakutakia siku njema. (more…)

NENO LA LEO; Kosa kubwa utakalofanya kwenye maisha yako.

By | October 24, 2014

Defeat may test you; it need not stop you. If at first you don’t succeed, try another way. For every obstacle there is a solution. Nothing in the world can take the place of persistence. The greatest mistake is giving up. Kushindwa kunaweza kukujaribu, lakini hakuwezi kukuzuia. Kama kwa mara (more…)

NENO LA LEO; Kuhusu watu wenye akili nyingi(majinias)

By | October 23, 2014

A genius is a person who shoots at something no one else can see – and hits it. Mtu mwenye akili nyingi ni yule ambaye analenga shabaha isiyoonekana na mtu mwingine ila yeye na akaipatia. Usiogope kutimiza ndoto zako hata kama watu wanakuambia haziwezekani. TUPO PAMOJA. (more…)

NENO LA LEO; Kuhusu Mabadiliko Kwenye Maisha.

By | October 20, 2014

Change is the essence of life. Be willing to surrender what you are for what you could become. Mabadiliko ni sehemu ya maisha. Kuwa tayari kuacha uivyo leo, ili kupokea utakavyokuwa baadae. Usipingane na mabadiliko, utabaki nyuma. Nakutakia kila la kheri na wiki yenye mafanikio makubwa. TUKO PAMOJA. (more…)