Category Archives: NENO LA LEO

Jifunze kila siku kupitia usemi mbalimbali.

NENO LA LEO; Mawazo, Maneno, Matendo, Haiba Na Hatima Yako.

By | October 17, 2014

Watch your thoughts; they become words. Watch your words; they become actions. Watch your actions; they become habits. Watch your habits; they become character. Watch your character; it becomes your destiny. Angalia mawazo yako maana yanzaa maneno yako. Angalalia maneno yako maana yanazaa matendo yako. Angalia matendo yako maana yanazaa (more…)

NENO LA LEO; Kuhusu Ukuaji Wa Jamii.

By | October 16, 2014

A society grows great when old men plant trees whose shade they know they shall never sit in. Jamii inakua pale ambapo wazee wanapanda miti huku wakijua hatawapata nafasi ya kukaa kwenye kivuli cha miti hiyo. Ni lazima tuweze kujali vizazi vijavyo kama tunataka kuwa na maendeleo endelevu. Nakutakia kila (more…)

NENO LA LEO; Kuhusu Thamani Ya Kujitolea.

By | October 15, 2014

Volunteers are not paid – not because they are worthless, but because they are priceless. Wanaojitolea hawalipwi – sio kwa sababu hawana thamani ila kwa sababu thamani yao ni kubwa sana huwezi kuipa bei. Jitolee ulicho nacho kuwasaidia wengine, inaweza kuwa muda, fedha, ushauri na vingine. TUPO PAMOJA. (more…)

NENO LA LEO; Kuhusu umbali wa safari ya mafanikio

By | October 13, 2014

There is no telling how many miles you will have to run while chasing a dream.Huwezi kusema ni umbali gani utakimbika kwenyebkukimbiza ndoto yako.Umbali wa safari ya mafanikio ni mpaka pale utakapofikia mafanikio na utaendelea na safari.Nakutakia kila la kheri.TUKO PAMOJA (more…)

NENO LA LEO; Kuhusu Kusema Ukweli

By | October 10, 2014

Solid advice: If you always tell the truth, you never have to remember anything! Ushauri mzito; Kama kila mara unaongea ukweli, huna haja ya kuwa na kumbukumbu. Ukiwa muongo unahitaji kuwa na kumbukumbu kubwa sana kitu ambacho sio rahisi na hivyo utaishia kukamatwa tu. Ijue kweli nayo kweli itakuweka huru. (more…)

NENO LA USIKU; Kabla ya kulala tafakari hiki.

By | October 9, 2014

Kama siku yako ya leo imekwenda vibaya, kumbuka kwamba huo sio mwisho wa dunia. Kuna kesho na kesho ni siku mpya unayoweza kufanya tofauti na kuweza kufanikiwa.Kabla hujalala chukua kalamu na karatasi na uandike yafuatayo;Mambo matatu uliyofanikisha na kufanikiwa leo.Mambo matatu uliyopata changamoto au kushindwa leo.Jiulize ni kipi cha kuendeleza (more…)