Category Archives: NENO LA LEO

Jifunze kila siku kupitia usemi mbalimbali.

NENO LA LEO; Kuhusu Ugumu Wa Kufanya Maamuzi.

By | September 21, 2014

It’s not hard to make decisions when you know what your values are.   Sio vigumu kufanya maamuzi kama unaijua thamani yako au malengo yako. Tunakosea katika kufanya maamuzi mengi kwa sababu tunayafanya bila ya kujua yataathiri vipi malengo yetu. Nakutakia siku njema. (more…)

NENO LA LEO; Kuhusu Kufikia Ndoto Zako.

By | September 20, 2014

If you are facing in the right direction, all you have to do is keep on walking in order to reach your dreams.   Kama upo kwenye uelekeo sahihi, unachotakiwa kufanya ni kuendelea na safari ili kufikia ndoto zako. Ukishachagua njia yako usirudi tena nyuma, endelea kukaza mwendo ili uweze (more…)

NENO LA LEO; Kuhusu Muonekano Wako Wa Nje.

By | September 19, 2014

How things look on the outside of us depends on how things are on the inside of us.   Jinsi mambo yanavyoonekana kwa nje inategemea na jinsi tulivyo ndani yetu. Anza kubadili kilichoko ndani yako ili kuona mabadiliko ya nje. Anza na mawazo yako, ukibadili mawazo yako utaona mabadiliko kwa (more…)

NENO LA LEO; Kuhusu Uwezo Wako Mkubwa.

By | September 17, 2014

If you think you are too small to be effective, you have never been in the dark with a mosquito!   Kama unafikiri wewe ni mdogo sana kuweza kuleta mabadiliko makubwa, hujawahi kukaa kwenye giza ukiwa na mbu. Kila mmoja wetu ana uwezo mkubwa ulioko ndani yake. Ujue uwezo wako (more…)

NENO LA LEO; Kuhusu Kutabiri Kesho Yako.

By | September 16, 2014

The best way to predict your future is to create it! Njia bora ya kutabiri kesho yako ni kuitengeneza leo. Usihangaike kupata utabiri kwamba maisha yako ya baadae yatakuwaje. Unao uwezo wa kuyatengeneza na kuwa kama vile unavyotaka wewe. Kujifunza zaidi tembelea AMKA MTANZANIA na KISIMA CHA MAARIFA.Kila la kheri. (more…)

NENO LA LEO; Kuhusu Kufanya Mambo Mengi.

By | September 15, 2014

It’s important to focus on one thing at a time. Even in the Roman times they understood this with their Proverb; “The man who chases two rabbits catches none.”   Ni muhimu kufanya jambo moja kwa wakati. Hata wakati wa Roma walielewa hili kwa msoemo wao; mtu anayekimbiza sungura wawili, (more…)

NENO LA LEO; Kuhusu Yasiyowezekana.

By | September 11, 2014

“Most things that we think are impossible in life, is because we have never tried them. So go for every dream and opportunity before making a judgement.” “Mambo mengi tunayofikiri hayawezekani ni kwa sababu hakuna aliyewahi kujaribu kuyafanya, hivyo fanyia kazi kila ndoto yako kabla ya kujihukumu kwamba haiwezekani” Nakutakia (more…)

NENO LA LEO; Kuhusu upatikanaji wa FURSA

By | September 9, 2014

“Opportunities are found by those who look for them! The bee has a sting but honey too… so look at every negative and make a positive out of it.”“Fursa zinapatikana kwa wale wanaozitafuta, nyuki anauma ila ana asali pia…. hivyo angalia kwenye kila tatizo kuna njia ya kutokea”Nakutakia siku njema. (more…)

NENO LA LEO; Kuhusu Hazina Ya Mwanadamu.

By | September 8, 2014

“More gold has been mined from the thoughts of men than has been taken from the earth. So dust off the cobwebs and use all those great ideas you have!” “Dhahabu nyingi imechimbwa kwenye mawazo ya wanadamu kuliko iliyochimbwa ardhini. Hivyo futa futa utando uliokinga mawazo yako na anza kuyatumia (more…)