Category Archives: NENO LA LEO

Jifunze kila siku kupitia usemi mbalimbali.

Dalili Kumi Kwamba Tayari Wewe Ni Kiongozi.

By | April 20, 2014

Kwenye makala zilizopita tumeona ni muhimu sana kwa kila mmoja wetu kuwa kiongozi. Pamoja na umuhimu huo sio watu wote ni viongozi na sio watu wote wataweza kuwa viongozi. Na hata ambao ni viongozi sio wote ni viongozi bora wanaotoa matokeo mazuri. Pia tumejifunza kwamba kiongozi anaweza kuzaliwa au kutengenezwa. (more…)

Siri Kumi za Mafanikio Kwenye Uongozi.

By | April 6, 2014

Katika watu wengi wanaopewa nafasi za kuongoza kuna wachache sana ambao wanakuwa ni viongozi bora. Wengine wanaishia kuwa tu na majina ya uongozi ila wanashindwa kufanya mambo makubwa kupitia nafasi zao za uongozi. Mpaka unasoma hapa naamini unataka kuwa kiongozi bora. Ili uweze kupata mafanikio kwenye uongozi, kuna tabia kumi (more…)

Ni Muhimu Sana Wewe Kuwa Kiongozi.

By | March 2, 2014

  Katika safari ya malengo yangu ya kuwa rais wa Tanzania ifikapo mwaka 2040 moja ya maandalizi makubwa ni kujenga sifa za uongozi ndani yangu. Katika kujenga sifa kwangu mimi namkaribisha yeyote anayetaka kujenga sifa za uongozi ndani yake tuwe pamoja kwenye safari hii. Nani anatakiwa kuwa kiongozi? Dunia ya (more…)