Category Archives: NENO LA LEO

Jifunze kila siku kupitia usemi mbalimbali.

UKURASA WA 77; Kama Watu Hawakupingi Unakosea Sana.

By | March 18, 2015

Kwenye kazi au biashara unayofanya, au hata maisha unayoishi kuna kipimo rahisi sana cha kuweza kujua kama unachofanya ni cha tofauti au ni cha kawaida. Kipimo hiko ni muitikio wa watu kwa kile unachokifanya. Kama kila mtu anakubaliana na wewe kwa kile unachofanya na jinsi unavyofanya basi utakuwa unafanya makosa (more…)

NENO LA LEO; Unachohitaji Kufanya Ili Dunia Nzima Ikukubali.

By | March 18, 2015

“Because one believes in oneself, one doesn’t try to convince others. Because one is content with oneself, one doesn’t need others’ approval. Because one accepts oneself, the whole world accepts him or her.”― Lao Tzu Kwa sababu mtu anajiamini mwenyewe, hajaribu kuwashawishi wengine. Kwa sababu mtu ameridhika na nafsi yake, (more…)

UKURASA WA 76; Jinsi Ushauri Unavyoweza Kufanya Kazi Kwako

By | March 17, 2015

Tunaishi kwenye jamii ambazo kila mtu anaweza kutoa ushauri kwenye jambo lolote lile. Usipokuwa makini unaweza kuchukua ushauri ambao sio mzuri na ukakuingiza kwenye matatizo makubwa au kukupotezea muda. Kuna ushauri ambao ni wa bure, ambao unatolewa na kila mtu. Hiki ni kitu hatari sana, usikimbilie kuufuata, utaumia. SOMA; USHAURI (more…)

NENO LA LEO; Ukishafanya Kitu Hiki Kimoja, Utajua Jinsi Ya Kuishi.

By | March 17, 2015

“As soon as you trust yourself, you will know how to live.” ― Johann Wolfgang von Goethe Mara utakapojiamini, utajua jinsi ya kuishi. Ni vigumu sana kujua jinsi ya kuishi kama wewe mwenyewe hujiamini. Utahangaika kufanya mambo mengi na utaishia kushindwa na kukata tamaa. Unapojiamini unajua ni kitu gani hasa (more…)

NENO LA LEO; Ufunguo Muhimu Wa Ufunguo Wa Mafanikio.

By | March 16, 2015

One important key to success is self-confidence. An important key to self-confidence is preparation. -Arthur Ashe Ufunguo muhimu wa MAFANIKIO ni KUJIAMINI. Ufunguo muhimu wa KUJIAMINI ni MAANDALIZI. Kama unataka kufikia mafanikio makubw akwneye maisha yako unahitaji kujiamini. Hakuna mtu ambaye hajiamini anayeweza kufanikiwa. Kwa sababu ili ufanikiwe lazima watu (more…)

UKURASA WA 74; SAMEHE…

By | March 15, 2015

Labda tuseme kuna mtu amekuudhi sana kwenye maisha yako, amekufanyia jambo baya sana kiasi kwamba maisha yako yameharibika sana, una haki ya kumchukia, si ndio? Labda tuseme mtu huyu alifanya jambo ambalo lilikupa hasara kubwa sana kwenye maisha. Au kuharibu maisha yako sana. Au hata kujaribu kuondoa uhai wako, ila (more…)

NENO LA LEO; Kitu Kimoja Kitakachokujengea Kujiamini Na Kujithamini.

By | March 15, 2015

Nothing builds self-esteem and self-confidence like accomplishment. -Thomas Carlyle Hakuna kinachoweza kukujengea kuajiamini na kujikubali kama kukamilisha jambo. Unapokamilisha jambo lolote ulilopanga kufanya unapata hali kubwa ya kujiamini na kujithamini. Ila pale unapopanga kufanya kitu halafu ukashindwa kukikamilisha unajiona huna thamani na hata kujitharau. Kama unataka kuanza kujijengea tabia ya (more…)

NENO LA LEO; Chanzo Kikubwa Cha Msongo Wa Mawazo.

By | March 14, 2015

“Majority of people who are easily stressed are the one’s who think too much about the problems instead of solutions. Always focus on solutions. – Subodh Gupta. Watu wengi ambao ni rahisi kupata msongo wa mawazo ni wale ambao wanafikiria sana kuhusu matatizo kuliko suluhisho. Mara zote kazana kufikiria kuhusu (more…)

NENO LA LEO; Kuwa Unachotaka Kuwa, Sema Unachojisikia Kusema, Kwa Sababu…

By | March 13, 2015

Be who you are and say what you feel, because those who mind don’t matter, and those who matter don’t mind. -Dr. Seuss Kuwa yule unayetaka kuwa na sema kile unachojisikia kusema, kwa sababu wale watakaojali sana sio wa muhimu kwako na wale ambao ni wa muhimu kwako hawatajali sana. (more…)

UKURASA WA 71; Angalia Nyuma Kwa Lengo Moja Tu…

By | March 12, 2015

Mpaka uje kufikia kile unachotaka kwenye maisha yako, utafanya makosa mengi sana. Kuna mambo mengi utakayofanya na kukosea, na kushindwa. Ili ufanikiwe unahitaji kurudia tena na tena na tena. SOMA; Hivi Ndivyo Unavyoweza Kutumia Saa Hili moja Kufikia Mafanikio Makubwa. Lakini pia ni rahisi sana kuangalia nyuma, kuona makosa uliyofanya. (more…)