Category Archives: NENO LA LEO

Jifunze kila siku kupitia usemi mbalimbali.

NENO LA LEO; Unachotakiwa Kusema Unaposhinda Na Unaposhindwa.

By | March 12, 2015

When you win, say nothing, when you lose, say less. -Paul Brown Unaposhinda usiseme chochote. Unaposhindwa sema kidogo. Binadamu tuna tabia ya kusema sana hasa pale tunaposhinda, tunaona kwamba sisi ndio tunaweza sana kuliko wengine. Mara nyingi hii sio kweli. Badala ya kupoteza muda mwingi kusema pale unaposhinda kwa nini (more…)

UKURASA WA 70; Jua Kwa Nini Unafanya Unachofanya..

By | March 11, 2015

Kila mtu anajua NI NINI anachofanya. Hata kama hakimpi faida au hakina manufaa kwake ila anajua anachofanya. Na kama mtu hajui anachofanya basi anaweza kuwa na matatizo makubwa zaidi. SOMA; NENO LA LEO; Akili Ndogo, Akili za Kawaida Na Akili Kubwa. Baadhi ya watu wanajua JINSI YA KUFANYA wanachofanya. Ni (more…)

NENO LA LEO; Umuhimu Wa Kuwa Makini Na Maneno Yako…

By | March 11, 2015

Once a word leaves your mouth, you cannot chase it back even with the swiftest horse. -Chinese Proverbs Neno likishatoka kwenye kinywa chako, huwezi kulikamata na kulirudisha hata kama ungetumia farasi mwenye mwendo kiasi gani. Kuwa makini sana na kile unachosema, kinaweza kuwa na madhara makubwa kwako au kwa yule (more…)

NENO LA LEO; Tofauti Ya Kushinda Na Kushindwa…

By | March 10, 2015

The difference in winning & losing is most often, not quitting. -Walt Disney Tofauti ya kushinda na kushindwa ni kutokukata tamaaa. Usipokata tamaa ni lazima utashinda, lazima utafanikiwa. Lakini ukikata tamaa, una uhakika kwamba huwezi kufika mbali. Kila jambo utakalojaribu kufanya lina changamoto zake. Ukiweza kuvuka changamoto hizi bila ya (more…)

NENO LA LEO; Kitu Cha Kuogopa Na Ambacho Sio Cha Kuogopa.

By | March 9, 2015

Do not fear going forward slowly; fear only to stand still. – Chinese Proverb Usiogope kwenda mbele taratibu; Ogopa kusimama. Kama upo kwenye mwendo usiogope mwendokasi unaotumia, kwani vyovyote vile hutabaki kama ulivyo sasa. Ila kama haupo kwneye mwendo kabisa, yaani umesimama unahitaji kuchukua hatua haraka sana maana utaendelea kuwa (more…)

NENO LA LEO; Tofauti Ya Kinachowezekana NA Kisichowezekana.

By | March 8, 2015

The difference between the impossible and the possible lies in a man’s determination. -Tommy Lasorda Tofauti ya kinachowezekana na kisichowezekana ipo kwenye maamuzi ya mtu. Kama utaamua kwamba inawezekana basi ni kweli inawezekana na utafanya mambo makubwa. Kama utaamua haiwezekani ni kweli haitawezekana na hata ukijaribu kwa kiasi gani utaishia (more…)

NENO LA LEO; Ili kushinda Unahitaji Hiki, Na Kama Huna Utakipata Hivi.

By | March 7, 2015

To be a great champion you must believe you are the best. If you’re not, pretend you are. -Muhammad Ali Kuwa mshindi ni lazima uamini kwamba wewe ni bora. Na kama sio bora basi jifanye kuwa bora. Ushindi unaanzia ndani yako, kwa kuamini kwmaba wewe ni bora na unaweza kufanya (more…)

NENO LA LEO; Kitu Muhimu Kuvaa Kuliko Nguo.

By | March 6, 2015

Nothing you wear is more important than your smile. – Connie Stevens Hakuna kitu muhimu unachoweza kuvaa kama tabasamu. Muda wote vaa tabasamu, hapana sio muda wote, ila tabasamu ni muhimu. Tabasamu linakarisha watu, tabasamu linaleta ushirikiano na tabasamu linaonesha kujali. Zawadi bora unayoweza kumpa mtu ni tabasamu. Na silaha (more…)

UKURASA WA 64; Nusa Mabadiliko.

By | March 5, 2015

Kitu kimoja ambacho naweza kukuhakikishia ni kwamba mabadiliko yanatokea kila siku. Sina haja ya kukushawishi sana hili maana wewe mwenyewe unaona, labda iwe umeamua kutokuona kwa makusudi. Kama unahitaji nikukumbushe kidogo, fikiria makampuni kama ya posta, simu za mkononi, maktaba na mwengine mengi yanaelekea wapi kibiashara. Yanakufa kwa sababu kuna (more…)

NENO LA LEO; Hakuna Uhaba Wa Fursa.

By | March 5, 2015

There is far more opportunity than there is ability. -Thomas A. Edison Kuna fursa nyingi sana kuliko uwezo wa watu kuzitumia fursa hizo. Usidanganyike kwamba hakuna fursa, fursa zipo nyingi sana. Kama mpaka sasa hivi huzioni fursa maana yake uwezo wako bado uko chini kuliko fursa zinazokuzunguka. Kama utaongeza uwezo (more…)