Category Archives: NENO LA LEO

Jifunze kila siku kupitia usemi mbalimbali.

NENO LA LEO; Ushauri Bora Unaoweza Kutoa Kwa Rafiki Yako.

By | March 4, 2015

“In giving advice, seek to help, not please, your friend.” – Solon Katika kutoa ushauri, toa ushauri utakaosaidia na sio ushauri utakaomridhisha rafiki yako. Hii ni changamoto kubwa sana hasa pale rafiki yako anapokosea. Mara nyingi utaogopa kumwambia kwa sababu unafikiria anakuchukuliaje. Au rafiki anakuomba ushauri na kwa maelezo yake (more…)

NENO LA LEO; Elekeza Uso Wako Hapa.

By | March 3, 2015

“Keep your face always toward the sunshine – and shadows will fall behind you.” —Walt Whitman Mara zote elekeza uso wako kwenye mwanga wa jua na kivuli kutaanguka nyuma yako. Angalia lile lililojema kwenye maisha yako na mabaya yataanguka nyuma. Usipoteze muda wako kuangalia mabaya, hakuna utakachofaidika nacho. Nakutakia siku (more…)

NENO LA LEO; Faida Ya Kuwasha Taa Yako…

By | March 2, 2015

As we let our own light shine, we unconsciously give other people permission to do the same. -Marianne Williamson Jinsi unavyoacha mwanga wako ung’ae ndivyo unawapa ruhusa watu wengine nao kung’arisha mwanga wao. SOMA; Matatizo Yote Kwenye Maisha Yako Yanatokana Na Kitu Hiki. Unapokazana na kupata mafanikio, ndivyo unavyowapa wengine (more…)

UKURASA WA 60; Je Una Ujasiri Huu?

By | March 1, 2015

Katika maisha yetu ya kila siku tunafanya maamuzi mbalimbali. Maamuzi mengine yanakuwa makubwa na magumu, na maamuzi mengine yanakuwa madogo na rahisi. Mara nyingi watu hufanya maamuzi makubwa na magumu wakiamini kwamba kuna watu nyuma yao ambao watamsaidia pale mambo yatakapokuwa magumu zaidi. SOMA; NENO LA LEO; Kuhusu Ugumu Wa (more…)

NENO LA LEO; Angalia Hapa…

By | March 1, 2015

It is better to look ahead & prepare than to look back & regret. -Jackie Joyner-Kersee Ni bora kuangalia mbele na kujiandaa kuliko kuangalia nyuma na kujutia. Jana imeshapita, jambo lolote ulilofanya jana huwezi kulibadili tena, ila unaweza tu kujifunza. Kesho bado haijafika, ila unaweza kuishi vizuri leo na kujiandaa (more…)

NENO LA LEO; Akili Ndogo, Akili za Kawaida Na Akili Kubwa.

By | February 28, 2015

Great minds discuss ideas; average minds discuss events; small minds discuss people. -Eleanor Roosevelt Akili kubwa zinajadili mawazo; akili za kawaida zinajadili matukio; akili ndogo zinajadili watu. SOMA; UKURASA WA 40; Amua Kuwa Wewe… Je wewe unajadili nini? Ukijikuta unajadili watu, fulani kafanya hiki, fulani kafanya kile na mengine mengi (more…)

UKURASA WA 58; Usikubali Kubeba Matatizo Ya Mtu.

By | February 27, 2015

Unaruhusiwa kumsaidia mtu, na tunahitaji sana kusaidiana ili tuweze kufikia mafanikio. Lakini kama njia yako ya kumsaidia mtu ni kuyabeba matatizo yake basi unajiandaa kushindwa. Kuna watu wengi sana ambao unahitaji kuwasaidia kiasi kwamba ukitaka kubeba matatizo yao yote maisha yako yatakuwa hovyo sana. Unapomsaidia mtu, hakikisha maisha yako wewe (more…)

NENO LA LEO; Vitu VIWILI Ambavyo Tayari Unavyo Na Vinavyoweza Kukufikisha Popote Unapotaka KWENDA.

By | February 27, 2015

You have brains in your head, and feet in your shoes. You can steer yourself any direction you choose.” Dr. Seuss Una ubongo kwenye kichwa chako na una miguu kwenye viatu vyako. Unaweza kuenda uelekeo wowote unaochagua. Tumia akili yako vizuri, kuwaza na kujua ni kitu gani hasa unachotaka kwenye (more…)

UKURASA WA 57; Dunia Haina Usawa…

By | February 26, 2015

Kuna wakati ambao utafanya kila unachotakiwa kufanya na kusubiri upate matokeo uliyotegemea kupata ila huyapati. Unafanya kila kilicho ndani ya uwezo wako, unakazana sana kuhakikisha mambo yote yanakwenda sawa ila mwisho wa siku hupati kile ulichotarajia kupata. Unapata kilicho tofauti kabisa, au hupati kabisa, au unaishia kupoteza kabisa. SOMA; Mwalimu (more…)

NENO LA LEO; Tatizo La Kuwa Na Machaguo Machache.

By | February 26, 2015

To the man who only has a hammer, everything he encounters begins to look like a nail. -Abraham Maslow Kwa mtu ambaye ana nyundo tu, kila kitu anachokutana nacho kinaonekana kama msumari. Kama unajua kitu kimoja tu, kila tatizo utakalokutana nalo utajaribu kulitatua kw akile unachojua. Na mara nyingi utatuzi (more…)