Category Archives: KUTOKA KWA KOCHA

Hizi ni makala kwa wasomaji wote wa KISIMA CHA MAARIFA.

#TAFAKARI YA LEO; MUHIMU NI KUFANYA KILICHO SAHIHI…

By | December 8, 2020

“Just that you do the right thing. The rest doesn’t matter. Cold or warm. Tired or well-rested. Despised or honored. Dying…or busy with other assignments.” – Marcus Aurelius Wajibu wako na kilicho muhimu kabisa kwako, Ni kufanya kilicho sahihi. Mara zote. Haijalishi unapitia hali gani, Haijalishi wengine wanafanya nini, Wewe (more…)

#TAFAKARI YA LEO; MAGUMU YANAKUIMARISHA…

By | December 7, 2020

“Man needs difficulties. They are necessary for health.” – Carl Jung Huwa hatupendi kukutana na magumu kwenye maisha, Lakini magumu hayo ni muhimu sana kwetu, Kwa sababu ndiyo yanayotuimarisha. Mti unaoota eneo ambalo ni gumu, hakuna maji, kuna upepo mkali huwa unakuwa mti imara kuliko unaoota eneo lenye maji mengi (more…)

#TAFAKARI YA LEO; UNAHITAJI KUPITA KWA WENGI WASIO SAHIHI…

By | December 6, 2020

“In order to discover one grateful person, it is worth while to make trial of many ungrateful ones.” – Seneca Huwa tunajiwekea mipango mbalimbali, ambayo huwa haijumuishi changamoto tunazoweza kukutana nazo. Lakini kitu kimoja ambacho tuna uhakika nacho ni kwamba changamoto huwa hazikosekani. Tunataka kila kitu kiende kama tunavyotaka sisi, (more…)

#TAFAKARI YA LEO; MENGI YANAYOKUSUMBUA, HAYATATOKEA…

By | December 3, 2020

“I am an old man and have known a great many troubles, but most of them never happened.” —MARK TWAIN Kila ukiifikiria kesho yako, kuna mambo mengi yanakusumbua. Yanakupa hofu na wasiwasi mkubwa. Lakini leo hii ukichukua nafasi ya kujikumbusha mambo ambayo yamewahi kukusumbua huko nyuma, utagundua mengi hayakutokea kabisa. (more…)

#TAFAKARI YA LEO; NI KAMARI GANI HIYO UNAYOCHEZA?

By | December 1, 2020

“Change your life today. Don’t gamble on the future, act now, without delay.” — Simone de Beauvoir Chochote unachopanga kufanya kwenye maisha yako, kifanye sasa. Kwa sababu huu ndiyo wakati pekee ambao una uhakika nao kwenye maisha yako. Hutapata wakati mwingine kama sasa. Ni rahisi kujiambia utafanya kesho, Lakini kumbuka (more…)

#TAFAKARI YA LEO; USILAZIMISHE MAMBO YAWE UNAVYOTAKA…

By | November 30, 2020

“People who try to force circumstances become their slaves. Those who use them become their masters.” —The Talmud “There is nothing in this world more tender and more pli able than water, yet hard and rigid things cannot resist it.” – Lao Tzu Usilazimishe mambo yawe kama unavyotaka wewe, Bali (more…)