Category Archives: KUTOKA KWA KOCHA

Hizi ni makala kwa wasomaji wote wa KISIMA CHA MAARIFA.

#TAFAKARI YA LEO; ONGEA NA WAFU…

By | November 8, 2020

“To live the best life,” the Oracle told Zeno, “you should have conversations with the dead.” Kama unataka kuwa na maisha bora, unapaswa kuongea na wafu. Na hapa siyo kwa kufanya matambiko, bali kwa kusoma maarifa yaliyoachwa na wale waliotutangulia hapa duniani miaka mingi iliyopita. Wanafalsafa na waandishi mbalimbali waliweka (more…)

#TAFAKARI YA LEO; NJIA RAHISI YA KUIBADILI DUNIA…

By | November 7, 2020

“Everyone thinks of changing the world, but no one thinks of changing himself.” — Leo Tolstoy Kila mtu anafikiria kuibadili dunia na kuifanya kuwa sehemu bora kabisa ya kuishi. Kitu ambacho kipo nje ya uwezo wa kila mtu, maana dunia haiendi kulingana na matakwa ya yeyote, bali inajiendesha kwa misingi (more…)

#TAFAKARI YA LEO; MAFANIKIO NI KUWA WEWE…

By | November 6, 2020

“There is only one you for all time. Fearlessly be yourself.” – Anthony Rapp “There’s only one success… to be able to live your life your own way.” – Christopher Morley Miti mingi mno imekatwa ili kuzalisha karatasi za kuchapa vitabu vya siri za watu waliofanikiwa. Kuna vitabu zaidi ya (more…)

#TAFAKARI YA LEO; KUKIMBILIA KUONGEA, UNAISHIA KUONGEA UJINGA…

By | November 5, 2020

“The more urgently you want to speak, the more likely it is that you will say something foolish.” – Leo Tolstoy Kadiri unavyokimbilia kuongea, ndivyo kile unachoongea kinavyozidi kuwa cha kijinga. Unapokimbilia kuongea hupati muda wa kutosha kutafakari kitu kabla ya kukisema. Wengi huishia kujidhalilisha kwa yale wanayokimbilia kuongea. Wanasema (more…)

#TAFAKARI YA LEO; KUBISHANA NI UJINGA…

By | November 4, 2020

“You should abstain from arguments. They are very illogical ways to convince people. Opinions are like nails: the stronger you hit them, the deeper inside they go.” — Decimus Junius Juvenalis Kama unafikiri unaweza kumbadilisha mtu kupitia kubishana, unajidanganya. Unapobishana na mtu, anazidi kuamini kile anachosimamia. Kadiri unavyomuonesha kwa nini (more…)

#TAFAKARI YA LEO; HAMASA NA KIPAJI PEKEE HAVITOSHI…

By | November 1, 2020

“As habit is more dependable than inspiration, continued learning is more dependable than talent.” — Octavia Butler Ili kuanza kufanya kitu, unahitaji kuwa na hamasa ndani yako ya kukifanya. Lakini hamasa huwa haidumu, ni kitu cha muda mfupi tu. Hivyo ili uendelee kufanya, unapaswa kujijengea tabia, ikishakuwa tabia, inakuwa rahisi (more…)

#TAFAKARI YA LEO; USISEME, ONESHA…

By | October 31, 2020

“Don’t talk about your philosophy, embody it.” – Epictetus Kusema ni rahisi na matendo ni magumu. Huwa tunapenda kusema kuliko kutenda. Lakini matendo yana sauti kubwa kuliko maneno. Hivyo kama unataka kueleweka na wengine, usiwe tu mtu wa kusema kwa maneno, badala yake onesha kwa vitendo. Chochote unachosimamia kwenye maisha (more…)