Category Archives: KUTOKA KWA KOCHA

Hizi ni makala kwa wasomaji wote wa KISIMA CHA MAARIFA.

#TAFAKARI YA LEO; SIYO UNACHOPATA, BALI UNACHOTOA…

By | October 20, 2020

“When you approach a man, you should think not about how he can help you, but how you might serve and help him.” – Leo Tolstoy Mara nyingi unapokutana na mtu huwa unaangalia anawezaje kukusaidia badala ya kuangalia unawezaje kumhudumia. Hata kwenye kazi na biashara, unaangalia nini unachopata na siyo (more…)

#TAFAKARI YA LEO; UTAPIMWA KWA VIWANGO VYAKO MWENYEWE…

By | October 17, 2020

“In the world people take a man at his own estimate; but he must estimate himself at something. Disagreeableness is more easily tolerated than insignificance.” – Johann Wolfgang von Goethe Watu huwa wanakuchukulia kwa namna unavyojichukulia wewe mwenyewe. Kama unajiheshimu basi pia watu watakuheshimu. Na kama unajidharau na wao pia (more…)

#TAFAKARI YA LEO; USIKIMBILIE KUCHUKUA HATUA UKIWA NA HASIRA…

By | October 16, 2020

“The cause of anger is the sense of having been wronged, but one ought not trust this sense. Don’t make your move right away, even against what seems overt and plain; sometimes false things give the appearance of truth.” – Seneca Hasira huwa ni zao la hisia, pale unapoamini kwamba (more…)

#TAFAKARI YA LEO; USISUBIRI HAMASA, ANZA KUFANYA…

By | October 15, 2020

“Amateurs sit and wait for inspiration, the rest of us just get up and go to work.” – Stephen King Kitu kikubwa kinachowatofautisha wabobezi na wachanga ni hamasa. Wachanga huwa wanasubiri hamasa ije ndiyo waanze kufanya. Na kwa sababu hamasa haitabiriki wala haitegemeki, huwa wanachelewa kuanza kufanya na hivyo hawafanyi (more…)

#TAFAKARI YA LEO; SIYO ULIPOSIMAMA, BALI UNAKOELEKEA…

By | October 14, 2020

“The great thing in this world is not so much where we stand as in what direction we are moving.” – Oliver Wendell Holmes Sr. Jambo muhimu zaidi kwenye maisha yako siyo pale uliposimama sasa, bali kule unakoelekea. Haijalishi kwa sasa uko wapi, kama upo kwenye uelekeo sahihi, utafika mahali (more…)

#TAFAKARI YA LEO; JE HIKI NDIYO MUHIMU ZAIDI KUFANYA?

By | October 13, 2020

“Most of what we say and do is not essential,” If you can eliminate it, you’ll have more time, and more tranquility. Ask yourself at every moment, ‘Is this necessary?’” – Marcus Aurelius Mengi unayosema na kufanya siyo muhimu. Na hayo ndiyo yanayomaliza muda wako, kukuchosha na kukuvuruga. Kama utaweza (more…)

#TAFAKARI YA LEO; KUACHA MAZOEA INAHITAJI KAZI…

By | October 12, 2020

“Any departure from accepted traditions and customs requires a large and serious effort, but true understanding of new things always requires such an effort.” – Leo Tolstoy Kuachana na mazoea inakutaka mtu uweke jitihada na umakini mkubwa. Kuacha kile ulichozoea kufanya na ambacho wengine wanafanya siyo rahisi. Ndiyo maana wengi (more…)

#TAFAKARI YA LEO; UNAJIVUNIA VITU GANI?

By | October 11, 2020

“Most people are proud, not of those things which arouse respect, but of those which are unnecessary, or even harmful: fame, power, and wealth.” – Leo Tolstoy Watu wengi wamekuwa wanajivunia siyo kwa vitu ambavyo vinaleta heshima kwao, bali kwa vitu visivyo muhimu na wakati mwingine vyenye madhara. Vitu vitatu (more…)