Category Archives: KUTOKA KWA KOCHA

Hizi ni makala kwa wasomaji wote wa KISIMA CHA MAARIFA.

#TAFAKARI YA LEO; USIJIFANYE KUELEWA USICHOELEWA…

By | October 9, 2020

“Do not pretend to understand something that you do not. It is one of the worst possible things to do.” – Leo Tolstoy Kosa kubwa kabisa unaloweza kufanya kwenye maisha yako ni kijifanya unaelewa kile ambacho hukielewi. Hilo ni kosa kwa sababu hutajifunza na hutaelewa. Kama kuna kitu ambacho hujui, (more…)

#TAFAKARI YA LEO; MAANA YA MAFANIKIO KWAKO…

By | October 7, 2020

“Define what success means to you in controllable metrics, then edit your life of anything which is going to distract you from that.” – Ben Bergeron Hivi ndivyo watu wengi wanavyoyapoteza maisha yao, Wanafanya kile ambacho wengine wanafanya, Lakini wanapopata matokeo ambayo wengine wanapata, hawaridhishwi nayo. Wanafikiri labda kuna kitu (more…)

#TAFAKARI YA LEO; USIKIMBIE, NG’ANG’ANA…

By | October 4, 2020

“What is not clear should be cleared up. What is not easy to do should be done with great persistence.” —Confucius Kama kuna kitu ambacho hukielewi, usikiache na kwenda kwenye vile unavyoelewa, Badala yake ng’ang’ana mpaka ukielewe. Mambo mazuri na muhimi huwa hayaeleweki haraka, Ndiyo maana wachache mno ndiyo wanaoyaelewa (more…)

#TAFAKARI YA LEO; KAMA HUKOSEI…

By | October 1, 2020

“There are people who make no mistakes because they never wish to do anything worth doing.” – Johann Wolfgang von Goethe Kuna watu ambao wamekuwa wanafikiri kwamba kama hawakosei basi ni wakamilifu, kama hakuna wanaowapinga na kuwakosea basi wanafanya kilicho sahihi. Lakini huko ni kujidanganya. Ukweli ni huu; Kama hukosei (more…)