Darasa; Chanjo ya Covid 19.
Darasa; Chanjo ya Covid 19. Utangulizi. Mwishoni mwa mwaka 2019 kulitokea mlipuko wa ugonjwa wa kifua na mafua makali kwenye jimbo la Wuhan nchini China. Ugonjwa huo ulisababishwa na virusi vya Corona. Ugonjwa huo ulisambaa kwa kasi kwenye nchi mbalimbali duniani na kufikia january 2020, shirika la afya duniani (WHO) (more…)