Category Archives: KUTOKA KWA KOCHA

Hizi ni makala kwa wasomaji wote wa KISIMA CHA MAARIFA.

#TAFAKARI YA LEO; KINACHOKUPOTEZA NI UNACHOFANYA…

By | September 9, 2020

“Unqualified activity, of whatever kind, leads at last to bankruptcy.” – Johann Wolfgang von Goethe Adui wa kwanza wa mafanikio yako ni wewe mwenyewe. Kikwazo kikubwa kwako kupiga hatua kwenye maisha, ni mambo ambayo unayafanya sasa. Kule unakopeleka nguvu zako, muda wako na umakini wako ndiko kunakopelekea wewe kubaki hapo (more…)

#TAFAKARI YA LEO; KAZI AMBAYO HAKUNA MWINGINE ANAYEWEZA KUIFANYA…

By | September 4, 2020

“It seemed that one had little control over one’s own destiny. All one could do was to get on with the one job that nobody else could do, the job of being oneself.” — Monica Dickens, Mariana Mafanikio makubwa kwenye maisha huja pale mtu anapofanya kitu cha kipekee, kitu ambacho (more…)

#TAFAKARI YA LEO; UKWELI UNAKUPA UVUMILIVU…

By | September 3, 2020

“The closer people are to the truth, the more tolerant they are of the mistakes of others.” – Leo Tolstoy Kadiri unavyoukaribia ukweli, ndivyo unavyokuwa mvumilivu kwenye makosa ya wengine. Unazidi kuwa mkali kwako mwenyewe, huku ukiwavumilia wengine kwa makosa wanayofanya. Ukweli unakupa nafasi ya kujua jinsi wengi walivyo gizani, (more…)