Category Archives: KUTOKA KWA KOCHA

Hizi ni makala kwa wasomaji wote wa KISIMA CHA MAARIFA.

#TAFAKARI YA LEO; USIBADILI TUKIO…

By | August 31, 2020

“You don’t have to turn this into something. It doesn’t have to upset you. Things can’t shape our decisions by themselves.” – Marcus Aurelius Matukio huwa yanatokea kama yalivyopanga yenyewe, Na yanatokea kwa kila mtu. Ila baadhi ya watu wamekuwa wanayabadili matukio hayo na kuwa mzigo zaidi kwao. Usiingie kwenye (more…)

#TAFAKARI YA LEO; HAKUNA ATAKAYEKUPA, CHUKUA MWENYEWE…

By | August 30, 2020

“Freedom is not something that anybody can be given; freedom is something people take and people are as free as they want to be.” – James Baldwin Chochote kile unachosubiria watu wengine wakupe, unapoteza muda wako. Hiyo ni kwa sababu hakuna yeyote mwenye nguvu ya kukupa chochote unachotaka, bali wewe (more…)

#TAFAKARI YA LEO; TATIZO NI MATAKWA YAKO…

By | August 29, 2020

“The task of a philosopher: We should bring our will into harmony with whatever happens, so that nothing happens against our will and nothing that we wish for fails to happen.” —Epictetus Kinachofanya ukwame na kuvurugwa kwenye maisha, ni matokeo unayoyapata kuwa tofauti na matakwa yako. Kila unapofanya kitu, huwa (more…)

#TAFAKARI YA LEO; UNAJIDANGANYA MWENYEWE…

By | August 28, 2020

“It is as easy to deceive oneself without perceiving it as it is difficult to deceive others without their perceiving it.” — François duc de La Rochefoucauld Ni rahisi sana kwako kujidanganya mwenyewe bila ya kujua kwamba unajidanganya. Ni vigumu sana kuwadanganya wengine, bila ya wao kujua kwamba unawadanganya. Hivyo (more…)

#TAFAKARI YA LEO; NJIA YA UHAKIKA YA KUMALIZA MATATIZO YAKO…

By | August 27, 2020

“If you could only know who you are, all your troubles would seem utterly unnecessary and trivial.” – Leo Tolstoy Sehemu kubwa ya matatizo ambayo unapitia kwenye maisha, yanatokana na mtu kutokujijua wewe mwenyewe. Unahangaika na mambo mengi kwa sababu hujajijua kwa undani. Unafuata kila ambacho wengine wanakuambia lakini bado (more…)

#TAFAKARI YA LEO; UKWELI NI SUMU KWA WAOVU…

By | August 24, 2020

“The truth is harmful only to evildoers. Those who do good love the truth.” – Leo Tolstoy Ukweli huwa haubembelezi, Huwa unabaki kuwa ukweli mara zote, bila ya kujali wengine wanaupokeaji. Tabia hii ya ukweli imekuwa ni sumu kubwa kwa wale wanaotenda maovu. Kwa sababu hata wajaribu kuuficha ukweli kwa (more…)

#TAFAKARI YA LEO; FIKIRI KWA KINA…

By | August 22, 2020

“One hour of honest, serious thinking is more precious than weeks spent in empty talks.” – Leo Tolstoy Watu wengi wanapenda kutumia muda wao mwingi kuongea kuliko kufikiri. Wengi hawapendi kabisa kufikiri, Hivyo mtu anapohitajika kufikiri, atatafuta kila namna ya kukimbia jukumu hilo. Saa moja ya kufikiri kwa kina ni (more…)