Category Archives: KUTOKA KWA KOCHA

Hizi ni makala kwa wasomaji wote wa KISIMA CHA MAARIFA.

#TAFAKARI YA ASUBUHI; KAMA HUNA MUDA, KUNA MAHALI UNAKOSEA…

By | August 21, 2020

“Anyone who is engaged in really important things is very simple because he does not have time to create unneces sary things.” – Leo Tolstoy Kama huna muda, kama kila wakati uko bize na hupati nafasi ya kufanya yale muhimu kwako, Basi jua kuna mahali unakosea, Kuna mambo yasiyo muhimu (more…)

#TAFAKARI YA LEO; KINACHOKUTENGENEZA…

By | August 18, 2020

“Tell me to what you pay attention, and I’ll tell you who you are.” – Ortega y Gasset Kile unachokipa umakini wako, ndiyo kinachokutengeneza. Hivyo ukitaka kujua utakuwa mtu wa aina gani, Angalia vitabu unavyosoma sasa, Angalia habari na mitandao unayofuatilia, Na angalia wale unaotumia nao muda wako mwingi. Sisi (more…)

#TAFAKARI YA LEO; USIANGALIE WINGI, BALI UBORA…

By | August 12, 2020

“Do not be interested in the quantity of people who respect and admire you, but in their quality. If bad people dislike you, so much the better.” —Lucius Annaeus Seneca Kwenye maisha yako, usisumbuke na wingi wa watu wanaokukubali, wingi wa marafiki au wingi wa wateja. Badala yake kazana kupata (more…)