#TAFAKARI YA ASUBUHI; UNAKUWA KILE UNACHOFANYA…
“What you do, you possess. You must believe that eternal goodness exists that is within you, and that it grows and develops as long as you live.” —Ralph Waldo Emerson Unakuwa kile unachofanya, na siyo unachotamani kuwa. Ukifanya mema unakuwa mwema, ukifanya mabaya unakuwa mbaya. Huwezi kuwalazimisha watu wakuone unavyotaka (more…)