Category Archives: KUTOKA KWA KOCHA

Hizi ni makala kwa wasomaji wote wa KISIMA CHA MAARIFA.

#TAFAKARI YA LEO; HAZINA KUBWA ULIYONAYO…

By | August 1, 2020

“I guard my treasures: my thought, my will, my freedom. And the greatest of these is freedom.” – Ayn Rand Fikra, utashi na uhuru, ni hazina ambazo kila mmoja wetu anazo. Hazina ambazo mtu ukiweza kuzitumia vizuri, zinakupa kila unachotaka. Na katika hazina hizo, uhuru ndiyo hazina iliyo juu kabisa. (more…)

#TAFAKARI YA LEO; TATIZO HUJAKOMALIA KITU KWA MUDA…

By | July 31, 2020

“Take a simple idea and take it seriously.” —Charlie Munger Kila mtu anataka mafanikio makubwa, ila wanaoyapata ni wachache sana.Siyo kwa sababu wachache hao ni wajanja sana au wanafanya nakubwa sana.Bali kwa sababu wachache hao huwa wanakuwa tayari kukomaa na kitu mpaka wapate majibu. Wale wanaofanikiwa sana, huwa wanachukua kitu (more…)

#TAFAKARI YA ASUBUHI; MSAMAHA NI UHURU…

By | July 29, 2020

“Forgiveness is not forgetting. Forgiveness is freedom from hate.” — Valarie Kaur Msamaha siyo kusahau kile ambacho mtu amekufanyia, Bali msamaha ni uhuru kutoka kwenye chuki, Unaposamehe, unajiweka huru, Usiposamehe unakuwa umejiweka kwenye kifungo cha chuki ambayo itaendelea kukutesa. Hivyo usikubali kukaa na chuki au vinyongo vya aina yoyote. Samehe (more…)

#TAFAKARI YA ASUBUHI; UKISHAJUA UNACHOWEZA KUFANYA, NI VIGUMU KUTOKUKIFANYA…

By | July 27, 2020

“And once you realize that you can do something, it would be difficult to live with yourself if you didn’t do it.” – James Baldwin Ipo hadithi moja ya mtoto wa simba alipotea porini siku alipozaliwa, Akaokotwa na kundi la kondoo na kukuzwa na kondoo hao. Akawa anaishi kama kondoo, (more…)

#TAFAKARI YA ASUBUHI; KAMA HUJAKAMILIKA UNACHOTAFUTA HAKITAKUKAMILISHA…

By | July 25, 2020

“If you’re not enough before the gold medal, you won’t be enough with it.” I remembered that if I wasn’t enough before being asked to participate in this prestigious event, then participating wasn’t going to make me enough. Being enough was going to have to be an inside job. – (more…)

#TAFAKARI YA ASUBUHI; NGUVU TATU ZA KUKUPA UHURU…

By | July 24, 2020

“Self-reverence, self-knowledge, self-control, These three alone lead life to sovereign power.” — Alfred Tennyson Kuna nguvu tatu ukiwa nazo, utakuwa na uhuru wa uhakika kwenye maisha yako. Nguvu hizo ni; KUJITAMBUA; Lazima kwanza ujijue wewe mwenyewe kama unataka mafanikio na uhuru. Huwezi kufanikiwa kwa kujaribu kuwa kama wengine. Upekee wako (more…)

#TAFAKARI YA ASUBUHI; KANUNI YA KUTABIRI KUDUMU KWA NDOA…

By | July 23, 2020

“In a memorable example, Dawes showed that marital stability is well predicted by a formula: frequency of lovemaking minus frequency of quarrels You don’t want your result to be a negative number.” ― Daniel Kahneman, Thinking, Fast and Slow Kwenye kitabu chake kinachoitwa Thinking, Fast and Slow mwandishi Daniel Kahneman (more…)