Category Archives: KUTOKA KWA KOCHA

Hizi ni makala kwa wasomaji wote wa KISIMA CHA MAARIFA.

#TAFAKARI YA ASUBUHI; MWANGALIE ANAVYOKUFA, ATAKUFUNDISHA JINSI YA KUISHI.

By | July 22, 2020

“Watch her carefully right now,” she said, “because she’s teaching you how to live.” – Anne Lamott, Bird by Bird Kwenye kitabu chake kinachoitwa Bird by Bird mwandishi Anne Lamott anatushirikisha kisa cha rafiki yake aliyefariki kwa saratani. Miezi sita kabla ya kifo cha rafiki yake, Anne alikuwa anawasiliana na (more…)

#TAFAKARI YA ASUBUHI; ZAIDI YA KIPAJI…

By | July 21, 2020

“Talent is insignificant. I know a lot of talented ruins. Beyond talent lie all the usual words: discipline, love, luck, but, most of all, endurance.” — James Baldwin Mafanikio yanahitaji zaidi ya kipaji, Wengi hufikiri kwa kuwa na kipaji fulani inatosha kufanikiwa. Lakini kipaji pekee hakikufikishi popote, Wapo wenye vipaji (more…)

#TAFAKARI YA ASUBUHI; UJUAJI NI KIKWAZO…

By | July 20, 2020

“It’s impossible to begin to learn that which you think you already know.” – Epictetus Hatua ya kwanza ya kujifunza ni kujua kwamba hujui. Ukiwa mjuaji, huwezi kujifunza. Na ujuaji umekuwa kikwazo kwa wengi, Wanafikiri wanajua kila kitu hivyo hawana tena cha kujifunza. Wakati mwingine wanajua hawajui, lakini hawataki kuonekana (more…)

#TAFAKARI YA ASUBUHI; FURAHA HAIPO KILELENI…

By | July 18, 2020

“Everyone wants to live at the top of the mountain, but all the happiness and growth occurs while you’re climbing it.” – Andy Rooney Wale waliofanikiwa sana wanatufundisha somo kubwa kuhusu mafanikio kupitia maisha yao. Wengi huanzia chini kabisa na hapo kujisukuma kufanya kazi usiku na mchana ili kufika kwenye (more…)

#TAFAKARI YA ASUBUHI; MANENO KIDOGO, KAZI ZAIDI…

By | July 16, 2020

“The less you speak, the more you will work.” – Leo Tolstoy Kuna sheria moja ya siri ambayo wawekezaji wakubwa wamekuwa wanaitumia. Sheria hiyo ni kwamba ukimuona mkurugenzi mkuu (CEO) au mwanzilishi (Founder) wa kampuni anaonekana akiongea sana kwenye vyombo vya habari, ni wakati wa kuondoa uwekezaji wako kwenye kampuni (more…)

#TAFAKARI YA ASUBUHI; ANAYEONGEA SANA SIYO MFANYAJI…

By | July 15, 2020

“The person who speaks much will seldom fulfill all his words in his actions. A wise person is always wary lest his words surpass his actions.” — CHINESE WISDOM Mtu anayeongea sana huwa siyo mfanyaji, Ni vigumu sana mtu kuweza kutekeleza kila anachosema kama anasema sana. Mtu mwenye hekima ni (more…)