Category Archives: KUTOKA KWA KOCHA

Hizi ni makala kwa wasomaji wote wa KISIMA CHA MAARIFA.

#TAFAKARI YA ASUBUHI; HAKUNA KIPYA…

By | July 12, 2020

Marcus Aurelius wanted us “to bear in mind constantly that all of this has happened before. And will happen again—the same plot from beginning to end, the identical staging.” Kila kinachotokea sasa, kilishatokea tena huko nyuma. Hakuna kitu kipya kinachotokea hapa duniani. Mambo ni yake yake, yanajirudia kwa sura tofauti. (more…)

#TAFAKARI YA ASUBUHI; UNAHITAJI NYAKATI NGUMU…

By | July 11, 2020

“There should be a science of discontent. People need hard times and oppression to develop psychic muscles.” — Frank Herbert Moja ya nadharia za mageuzi inasema kiungo cha mwili kinachotumika sana huwa kinakuwa imara huku kile kisichotumika kikiwa dhaifu na hata kupotea kabisa. Na njia rahisi ya kupima hilo ni (more…)

#TAFAKARI YA ASUBUHI; SIYO WINGI WA TAARIFA, BALI UNAZITUMIAJE…

By | July 9, 2020

“We live in the age of philosophy, science, and intellect. Huge libraries are open for everyone. Everywhere we have schools, colleges, and universities which give us the wisdom of the people from many previous millennia. And what then? Have we become wiser for all this? Do we better understand our (more…)

#TAFAKARI YA ASUBUHI; SIYO KUWASHINDA WAO, BALI KUJISHINDA MWENYEWE…

By | July 8, 2020

“Pay bad people with your goodness; fight their hatred with your kindness. Even if you do not achieve victory over other people, you will conquer yourself.” — HENRI AMIEL Unapolipa ubaya kwa wema, Unapolipa chuki kwa upendo, Lengo siyo kuwashinda wale wanaokufanyia hayo, Bali lengo ni kujishinda wewe mwenyewe. Mpumbavu (more…)

#TAFAKARI YA ASUBUHI; KAZI BORA ZINAFANYIKA KWENYE UTULIVU…

By | July 7, 2020

“Without great solitude, no serious work is possible.” — Pablo Picasso Bila ya utulivu, huwezi kufanya kazi ambayo ni bora. Bila ya kuondokana na kelele na usumbufu mwingine wa akili yako, haiwezi kutulia na kuja na mawazo bora. Wanasayansi, wanafalsafa, waandishi, wajasiriamali na watu wengine, huwa wanapata mawazo bora pale (more…)

#TAFAKARI YA ASUBUHI; KUBALI KUPITWA…

By | July 6, 2020

“If you wish to improve, be content to appear clueless or stupid in extraneous matters.” — Epictetus Uteja wa habari na mitandao ya kijamii huwa unatengenezwa na kitu kimoja, hofu ya kupitwa. Unatembelea mitandao hiyo kila mara na kufuatilia kila habari kwa kuhofia usipofanya hivyo basi utapitwa. Unahofia kuna mambo (more…)

#TAFAKARI YA ASUBUHI; MAISHA MAZURI KWAKO UNAYAJUA…

By | July 5, 2020

“There’s only one very good life and that’s the life you know you want and you make it yourself.” — Diana Vreeland Ndani kabisa ya moyo wako, unajua ni maisha ya aina gani unayoyataka. Unajua kabisa maisha mazuri kwako yakoje, Unajua nini unapenda kufanya na wapi unataka kufika. Umekuwa unajua (more…)

#TAFAKARI YA ASUBUHI; USILIPE UBAYA KWA UBAYA…

By | July 4, 2020

“To punish others is like putting more wood in the fire. Every crime already has punishment in itself, and it is more cruel and more just than the punishment created by people.” – Leo Tolstoy Kwenye maisha kuna watu huwa wanafanya mambo mbalimbali ambayo yanatukwaza au kutuumiza. Hali hiyo inapotokea, (more…)

#TAFAKARI YA ASUBUHI; KIKWAZO NDIYO NJIA, UDHAIFU NDIYO UIMARA…

By | July 3, 2020

“What we perceive as limitations have the potential to become strengths greater than what we had when we were ‘normal’ or unbroken…when something breaks, something greater often emerges from the cracks.” — Nnedi Okorafor Kile unachoona kama kikwazo kwako kufika kula unakotaka kufika, ndiyo njia unayopaswa kuitumia kufika unakotaka. Ule (more…)