Category Archives: KUTOKA KWA KOCHA

Hizi ni makala kwa wasomaji wote wa KISIMA CHA MAARIFA.

#TAFAKARI YA ASUBUHI; SUMU YA UBUNIFU…

By | July 2, 2020

Kila mmoja wetu ana utofauti na upekee ndani yake, Lakini ni wachache sana ambao wanaweza kubaki na utofauti waliozaliwa nao. Wengi hupoteza upekee wao na kujikuta wakiendesha maisha ya kawaida ambayo hayawatofautishi na wengine. Kitu ambacho kinachangia kuwazuia wasifanikiwe. Kuna sumu kubwa mbili ambazo zimekuwa zinaua upekee na utofauti ulio (more…)

#TAFAKARI YA ASUBUHI; KITU MUHIMU ZAIDI KWAKO KIFANYA…

By | July 1, 2020

“Concentrate on what’s in front of you like a Roman. Do it like it’s the last and most important thing in your life.” – Marcus Aurelius Wengi huanza siku zao wakiwa na mipango mbalimbali, Wanamaliza siku hizo wakiwa wamechoka kweli kweli, Lakini wakiangalia walichofanya, hawaoni. Wamesumbuka siku nzima na kuchoka, (more…)

#TAFAKARI YA ASUBUHI; FANYA AU USIFANYE, USIWEKE SABABU…

By | June 30, 2020

“People who want to write either do it or they don’t.” — Octavia Butler Kama kuna kitu unataka kufanya, una machaguo mawili, kukifanya au kutokukifanya. Chochote zaidi ya hayo mawili ni kujidanganya tu. Kama unataka kuandika, unachagua kuandika au kutokuandika, Kujiambia utaandika ukiwa na muda ni kujidanganya. Kama unataka kuanzisha (more…)

#TAFAKARI YA ASUBUHI; WATAKUHUKUMU KWA UNACHOFANYA…

By | June 28, 2020

“People who watch you judge you on what you do, not how you feel.” – CUS D’AMATO Watu wanaokuangalia huwa wanakuhukumu kwa kile unachofanya na siyo jinsi unavyojisikia. Unachofanya kinaonekana na kila mtu, Hisia zako unazijua mwenyewe. Hivyo unapaswa kuwa makini, usiruhusu hisia zikusukume kufanya kile ambacho siyo sahihi. Hata (more…)

#TAFAKARI YA ASUBUHI; UA BAADHI YA NAFSI ZAKO…

By | June 26, 2020

“One has to kill a few of one’s natural selves to let the rest grow — a very painful slaughter of innocents.” – Henry Sidwick Kila mkulima anajua jambo hili muhimu sana, Kama amepanda mazao yake, kisha yanapoota anakuja kukuta shina moja lina miche mingi, Hafurahii kwamba shins hilo litazaa (more…)

#TAFAKARI YA ASUBUHI; MISIMAMO YA KIJINGA…

By | June 23, 2020

“Remember that you are more free if you change your opinion and follow those who have corrected your mistakes, than if you are stubborn about your mistakes.” — MARCUS AURELIUS Kama watu wamekuonesha kile unachofanya siyo sahihi, ni vyema kubadili na kufanya kilicho sahihi badala ya kuendelea kung’ang’ana na kitu (more…)