Category Archives: KUTOKA KWA KOCHA

Hizi ni makala kwa wasomaji wote wa KISIMA CHA MAARIFA.

#TAFAKARI YA ASUBUHI; NJIA TATU ZA KUPATA HEKIMA…

By | June 21, 2020

“We can understand wisdom in three ways: first, by meditation; this is the most noble way. Secondly, by being influenced by someone or following someone; this is the easiest way. Third is the way of experience; this is the most difficult way.” —CONFUCIUS Unaweza kupata hekima kwa njia kuu tatu, (more…)

#TAFAKARI YA ASUBUHI; KAMA HUWEZI KUFANYA, FANYA…

By | June 20, 2020

“You must do the thing you cannot do.” – Eleanor Roosevelt Kama kuna kitu unataka kufanya, Lakini unajiambia huwezi kufanya, Basi kifanye kiwe lazima kwako kufanya. Huwa tunakua pale tunapofanya vitu ambavyo hatuwezi kufanya. Tunapata mafanikio pale tunapofanya vitu vya tofauti, Kuendelea kufanya kile ulichozoea, Utaendelea kupata matokeo ambayo umekuwa (more…)

#TAFAKARI YA ASUBUHI; UNAWEZA KUTENGANA NA MAISHA MUDA WOWOTE…

By | June 18, 2020

“You could leave life right now. Let that determine what you do and say and think.” – Marcus Aurelius Jinsi tunavyoendesha maisha yetu, utadhani tunaishi milele, tunapanga mambo na kuyaahirisha kila wakati kama vile tumehakikishiwa huo muda tunaoendelea kuusogeza mbele tunao. Jinsi tunavyochezea muda tulionao, kwa mambo yasiyo na umuhimu, (more…)

#TAFAKARI YA ASUBUHI; SIYO KWA MANUFAA YAKO PEKEE…

By | June 16, 2020

“The improvement of society can be achieved only by the moral improvement of individuals.” – Leo Tolstoy Msukumo mkuu kwetu kufanya chochote kile ni yale manufaa tunayoyapata. Hasa pale kitu hicho kinapokuwa kigumu au kinachotugharimu wakati wa kufanya. Huwa tunaangalia ni manufaa gani ambayo tunayapata. Huwa hatukubali kuteseka mpaka tuwe (more…)

#TAFAKARI YA ASUBUHI; ALIYEKUKASIRISHA NI WEWE…

By | June 15, 2020

“If someone succeeds in provoking you, realize that your mind is complicit in the provocation.” – Epictetus Kama umekasirishwa kwa namna yoyote ile, jua kabisa aliyekukasirisha ni wewe mwenyewe. Kama umedharauliwa na wengine, jua wa kwanza kukudharau ni wewe mwenyewe. Hakuna mtu yeyote mwenye nguvu ya kufanya chochote kwenye maisha (more…)

#TAFAKARI YA ASUBUHI; ILI MAISHA YAKO YAWE RAHISI…

By | June 13, 2020

“When you make an effort not to blame other people, your life becomes much easier, but very few people make this small effort.” – Leo Tolstoy Kama unataka maisha yako yawe rahisi, acha kuwalaumu wengine. Shika hatamu ya maisha yako na jua chochote kinachotokea au kutokutokea kwenye maisha yako ni (more…)