Category Archives: KUTOKA KWA KOCHA

Hizi ni makala kwa wasomaji wote wa KISIMA CHA MAARIFA.

#TAFAKARI YA ASUBUHI; UNAYACHUKUKIAJE MATESO…

By | June 12, 2020

“You should look in suffering for the seeds of your future spiritual growth, or the bitterness of suffering will be severe.” – Leo Tolstoy Unapopitia magumu na mateso kwenye maisha yako, Una njia mbili za kuyaangalia. Unaweza kuyaangalia kama kitu kibaya kinachokuja kukuumiza, na kwa namna hiyo mateso hayo yanakuwa (more…)

#TAFAKARI YA ASUBUHI; KILA WAZO LINA MADHARA…

By | June 11, 2020

“Every thought a person dwells upon, whether he expresses it or not, either damages or improves his life.” —LUCY MALORY Kila wazo unaloruhusu likae kwenye akili yako, Lina madhara kwenye maisha yako, Iwe utalifanyia kazi wazo hilo au la. Madhara ya wazo yanategemea aina ya wazo lenyewe. Kama wazo ni (more…)

#TAFAKARI YA ASUBUHI; KUELEWA PEKEE HAITOSHI, FANYA KITU…

By | June 10, 2020

“It’s not enough to understand; you’ve got to do something.” — Sandra Day O’Connor Umesoma kitabu na kuielewa dhana fulani vizuri, usiishie hapo, fanya kitu kwa dhana hiyo uliyoielewa. Umemsikiliza mtu akifundisha kitu fulani na kuelewa vizuri, usiishie hapo, nenda kachukue hatua mara moja kwa kile ulichoelewa. Unaweza kuelewa vizuri (more…)

#TAFAKARI YA ASUBUHI; WATU UNAOPASWA KUJIHUSISHA NAO…

By | June 9, 2020

“Associate with people who are likely to improve you.” — Seneca Watu pekee unaopaswa kujihusisha nao, ni wale ambao wanaweza kukufanya uwe bora kuliko ulivyo sasa. Hawa ndiyo watu wanaoongeza thamani kwenye maisha yako, Watu ambao wanakupa nafasi ya kujifunza kitu kutoka kwao au kupata hamasa ya kupiga hatua zaidi. (more…)

#TAFAKARI YA ASUBUHI; KAMA HUTAKI MAADUI…

By | June 7, 2020

“Be strict in judging yourself and gentle in judging others, and you will have no enemies.” — CHINESE WISDOM Kama hutaki maadui kwenye maisha yako, Kuwa mkali kwenye kujihukumu mwenyewe na mpole kwenye kuhukumu wengine. Sisi binadamu huwa hatuoni kitu kama kilivyo, bali huwa tunakiona kama tunavyokihukumu. Yaani tunaanza kwa (more…)

#TAFAKARI YA ASUBUHI; DARASA NI GEREZA, MAKTABA NI UHURU..

By | June 5, 2020

“I was made for the library, not the classroom.The classroom was a jail of other people’s interests. The library was open, unending, free.” — Ta-Nehisi Coates Unapokuwa shuleni, haupo huru kujifunza yale unayotaka kujua kwa kina, Badala yake utapangiwa ni maarifa ya aina gani upate, Na kwa kuwa unapimwa kwa (more…)

#TAFAKARI YA ASUBUHI; UKOMBOZI UPO KWENYE FIKRA…

By | June 4, 2020

“The salvation of mankind depends upon independent thinkers directing their thoughts rightly.” —RALPH WALDO EMERSON Ukombozi wetu sisi binadamu upo kwenye fikra zetu, Hivyo bila ya watu kuwa huru kufikiri na kupeleka fikra hizo sehemu sahihi, wataishia kuwa watumwa kwa watu wengine. Na hiki ndiyo kinachoendelea sasa, Watu wameacha kabisa (more…)