Category Archives: KUTOKA KWA KOCHA

Hizi ni makala kwa wasomaji wote wa KISIMA CHA MAARIFA.

#TAFAKARI YA ASUBUHI; UNAPODHANI UNAJUA, HUJUI.

By | June 2, 2020

“He who is looking for wisdom is already wise; and he who thinks that he has found wisdom is a stupid man.” —EASTERN WISDOM Yule aliye tayari kujifunza kila wakati ndiye mwenye hekima, Lakini yule ambaye anafikiri tayari ameshajua kila kitu ni mpumbavu. Ujuaji umewakwamisha wengi sana, Hasa kwa zama (more…)

#TAFAKARI YA ASUBUHI; FURAHA ISIYOONDOKA NA CHOCHOTE…

By | May 31, 2020

“Take from a person who follows the divine law everything which other people think of as comfort and wealth, and nevertheless such a person will remain happy.” – Leo Tolstoy Furaha ya kweli ni ile ambayo haiwezi kuondoka au kuondolewa na chochote. Hata pale mtu anapopoteza kila alichonacho, bado anaendelea (more…)

#TAFAKARI YA ASUBUHI; UNASUMBUKA KWA YASIYO MUHIMU…

By | May 30, 2020

“People strive in this world, not for those things which are truly good, but for the possession of many things which they can call their property.” – Leo Tolstoy Maisha yetu wanadamu yamejawa na kila aina ya vikwazo na changamoto. Kila wakati kuna kitu ambacho tunakabiliana nacho, Kitu kinachotunyima usingizi, (more…)

#TAFAKARI YA ASUBUHI; USIJIDANGANYE, LOLOTE LAWEZA KUTOKEA…

By | May 28, 2020

“In the meantime, cling tooth and nail to the following rule: not to give in to adversity, not to trust prosperity, and always take full note of fortune’s habit of behaving just as she pleases.” — SENECA Asili huwa ina tabia ya kutushtukiza kwa mambo mbalimbali. Pale tunapofikiri mambo yetu (more…)

#TuvukePamoja; TAFUTA ENEO LA KUHODHI.

By | May 26, 2020

Katika changamoto kubwa ya kiuchumi tunayopitia ambayo imesababishwa na mlipuko wa vizuri vya Corona, biashara nyingi zinakufa na kazi zinapotea. Wengi wanafunga biashara zao na hawatakuja kuzifungua tena, Wengi pia wanapunguzwa kazi na hawatakuja kupata kazi hizo tena. Ni hali ambayo inawashtua wengi, kwa kuwa hakuna aliyeitegemea, maana kila kitu (more…)

#TAFAKARI YA ASUBUHI; WANAOLALAMIKIA WENGINE NA KUKUSIFIA WEWE…

By | May 25, 2020

“Never listen to those who blame others and speak well about you.” – Leo Tolstoy Kamwe usiwasikilize wale ambao wanawalalamikia wengine na kukusifia wewe. Kwa sababu wanapoenda kwa wengine, wanakulalamikia wewe na kuwasifia hao wengine. Kamwe usiongeze neno kwa wale wanaowalalamikia au kuwalaumu wengine, Maana watakapoenda kukulalamikia kwao, wataongeza chumvi (more…)