Category Archives: KUTOKA KWA KOCHA

Hizi ni makala kwa wasomaji wote wa KISIMA CHA MAARIFA.

#TAFAKARI YA ASUBUHI; KINACHOWEZA KUFANYIKA MUDA WOWOTE…

By | May 11, 2020

Things that can be done at any time are often done at no time. Kitu kinachoweza kifanyika muda wowote, huwa hakipati muda wa kufanywa. Kitu kinachoweza kifanywa na mtu yeyote, huwa hakipati mtu wa kukifanya. Kitu kinachoweza kufanyika eneo lolote, huwa hakipati eneo la kufanyiwa. Hivi ni vitu vitatu muhimu (more…)

#TAFAKARI YA ASUBUHI; NI SEHEMU YA MAISHA…

By | May 10, 2020

“Ever since the world began, men have been subject to various tricks of Fortune, and it will ever be thus until the end.” – Giovanni Boccaccio Tangu kuanza kwa ulimwengu, binadamu wamekuwa wanapitia changamoto na majanga mbalimbali yanayotokana na asili. Na hivyo ndivyo itakavyokuwa kila siku ya maisha ya mwanadamu (more…)

#TAFAKARI YA ASUBUHI; JIFUNZE KILA SIKU…

By | May 9, 2020

“Seek to learn constantly while you live; do not wait in the faith that old age by itself will bring wisdom.” —SOLON Unakula chakula kila siku, Hukubali siku ipite hujaulisha mwili wako, Na kwa siku ambayo huna namna ya kulata chakula, utapambana kwa kila namna kuhakikisha unakipata. Hukuna siku umewahi (more…)

#TAFAKARI YA ASUBUHI; USICHUKULIE CHOCHOTE POA…

By | May 6, 2020

“…the true secret of happiness lies in the taking a genuine interest in all the details of daily life…” — William Morris Siri kuu ya furaha ni kuweka umakini kwenye kila eneo la maisha yako ya kila siku. Chochote kile unachochagus kukifanya, weka mawazo yako yote kwenye kitu hicho. Usifanye (more…)

#TAFAKARI YA ASUBUHI; SEMA UKWELI KWA WATOTO…

By | May 5, 2020

“You should always be truthful, especially with a child. You should always do what you have promised him, otherwise you will teach him to lie.” —After the TALMUD Watoto huwa wanajifunza kudanganya kupitia wazazi na walezi wao. Wanaangalia sana kile ambacho mtu anaahidi na jinsi anavyokitimiza. Hilo wanalielewa na kulikariri (more…)

#TAFAKARI YA ASUBUHI; JIFUNZE KUJUA, SIYO KUJULIKANA…

By | May 3, 2020

“Clever people study in order to know more. Undeserving people study to be more known.” —EASTERN WISDOM Changamoto kubwa kwenye maisha ni kwamba watu wengi hawajifunzi ili kujua, bali wanajifunza ili kujulikana. Mtu anaenda shule siyo ili apate maarifa yatakayobadili maisha yake, bali ajulikane na yeye ameenda shule au kufika (more…)