Category Archives: KUTOKA KWA KOCHA

Hizi ni makala kwa wasomaji wote wa KISIMA CHA MAARIFA.

#TAFAKARI YA ASUBUHI; SIFA ZA KAZI…

By | May 1, 2020

“Kazi ndiye rafiki wa kweli, asiyemtupa yeyote anayemheshimu.” – Dr Makirita Amani. 👉🏼Kazi ndiye rafiki wa kweli, imewatoa watu chini na kuwafikisha juu kabisa. 👉🏼Kazi inakupa heshima na utu, utaheshimika zaidi pale unapofanya kazi bora. 👉🏼Unapofanya kazi unayoipenda, inaacha kuwa kazi na kugeuka kuwa mchezo au sehemu ya maisha. 👉🏼Hakuna (more…)

#TAFAKARI YA ASUBUHI; SIYO BAHATI WALA AJALI, BALI NI KAZI…

By | April 29, 2020

“Progress is not achieved by luck or accident,” Epictetus said, “but by working on yourself daily.” Kupiga hatua kwenye maisha yako hakutokani na bahati wala ajali, Bali ni matokeo ya kazi ambayo unaiweka. Na kazi hiyo siyo ya siku moja halafu unaacha, Bali kazi unayoweka kila siku. Viungo muhimu hapo (more…)

#TAFAKARI YA ASUBUHI; MATATIZO YANAONESHA SURA YAKO HALISI…

By | April 28, 2020

“The true man is revealed in difficult times. So when trouble comes, think of yourself as a wrestler whom God, like a trainer, has paired with a tough young buck. For what purpose? To turn you into Olympic-class material.” – Epictetus Tabia halisi ya mtu huwa inaonekana wakati anapitia magumu (more…)

#TAFAKARI YA ASUBUHI; MATOKEO YA KUWALAUMU WENGINE…

By | April 26, 2020

“A bad mood is often the reason for blaming others; but very often blaming others causes bad feelings in us: the more we blame others, the worse we feel.” – Leo Tolstoy Kuna mambo mbalimbali huwa yanatokea kwenye maisha yetu, mambo ambayo hatukutegemea yatokee. Mambo hayo yanapotokea, huwa tunajisikia vibaya, (more…)

#TAFAKARI YA ASUBUHI; KUMKOMESHA MBWA ALIYEKUNG’ATA…

By | April 25, 2020

Seneca said. “Anger always outlasts hurt,” he advised. “Best to take the opposite course. Would anyone think it normal to return a kick to a mule or a bite to a dog?” Je na wewe utamng’ata? Mtu anapokufanyia kitu ambacho hujapendezwa nacho, unakasirika na kupanga kulipa kisasi. Je kama umembeba (more…)

#TAFAKARI YA ASUBUHI; USIPOTEZE IMANI…

By | April 24, 2020

“Whatever happens, do not lose faith. Nothing bad can happen to you as a human being.” – Leo Tolstoy Haijalishi nini kimetokea kwenye maisha yako, usipoteze imani. Hakuna kitu chochote kibaya kinachoweza kutokea kwako kama binadamu. Hakuna kitu kinachotokea ili kukuumiza au kukukomesha. Kila kinachotokea, kinakuja kwako kwa lengo la; (more…)

#TAFAKARI YA ASUBUHI; MATUMIZI YANAYOKUHANGAISHA…

By | April 23, 2020

“Most of our spending is done to forward our efforts to look like others.” —RALPH WALDO EMERSON Sehemu kubwa ya matumizi yanayokusumbua sana siyo yake ya msingi, Bali ni yale matumizi ya anasa, Matumizi ambayo lengo lake ni kufanana na wengine, kukazana usipitwe na wengine. Sisi binadamu huwa hatupendi kuwa (more…)