Category Archives: KUTOKA KWA KOCHA

Hizi ni makala kwa wasomaji wote wa KISIMA CHA MAARIFA.

#TAFAKARI YA ASUBUHI; KUJINYIMA KUNAKUFANYA UWE BORA ZAIDI…

By | April 20, 2020

“For a person who leads a spiritual life, self-sacrifice brings a bliss that far transcends the pleasure of a person who lives by the self-indulgent satisfaction of his animal passions.” – Leo Tolstoy Kwa mtu anayeishi maisha ya kiroho, kujinyima kunamfanya awe bora na kujisikia vizuri kuliko yule ambaye anatimiza (more…)

#TAFAKARI YA ASUBUHI; MATESO NI NJIA…

By | April 19, 2020

“Mankind has never achieved greatness but through suffering.” — F. ROBERT DE LAMENNAIS Mateso ni njia ya kuelekea kwenye ukuu. Hakuna mtu yeyote amewahi kufikia ukuu kwenye maisha yake bila kupitia mateso. Na kadiri mtu anavyotaka kupata makubwa kwenye maisha yake, ndivyo mateso yake yanakuwa makubwa zaidi. Chuma huwa inapitishwa (more…)

#TAFAKARI YA ASUBUHI; BORESHA IMANI YAKO…

By | April 17, 2020

“If you want to be quiet and strong, work and improve your faith.” – Leo Tolstoy Maisha hayajawahi kuwa nyoofu, Japo unapanga nini unataka, Na kuweka hatua za kuchukua ili kupata unachotaka, Na kufanyia kazi hatua hizo kama unavyopaswa, Siyo mara zote utapata unachotaka, Na hapo ndipo jaribu kuu. Wengi (more…)

#TAFAKARI YA ASUBUHI; MWILI LAZIMA UTII AKILI…

By | April 16, 2020

Seneca said, “Hold fast, then, to this sound and wholesome rule of life…The body should be treated more rigorously, that it may not be disobedient to the mind.” Ukiusikiliza sana mwili wako, hutaweza kufanya makubwa kwenye maisha yako. Kwa asili mwili huwa haupendi kuchoka, Hivyo unavyotaka kufanya kitu ambacho kitakuchosha, (more…)

#TAFAKARI YA ASUBUHI; HATUA BORA KUCHUKUA…

By | April 15, 2020

“Our most important actions are those consequences which we will not see.” – Leo Tolstoy Hatua bora na muhimu sana kwako kuchukua ni zile ambazo matokeo yake hutayaona wala kunufaika nayo wewe binafsi. Kwa asili, sisi binadamu ni wabinafsi, huwa tunafanya kile kinachotunufaisha sisi kwanza kabla ya kufanya vitu vingine. (more…)

#TAFAKARI YA ASUBUHI; KIKWAZO NDIYO NJIA…

By | April 14, 2020

“If you accept the obstacle and work with what you’re given, an alternative will present itself—another piece of what you’re trying to assemble.” – Marcus Aurelius Watu wengi huwa wana mipango mikubwa kwenye maisha yao. Lakini wanapoanza kufanyia kazi mipango hiyo, vikwazo na changamoto mbalimbali huwa zinaibuka. Hapo ndipo wengi (more…)