Category Archives: KUTOKA KWA KOCHA

Hizi ni makala kwa wasomaji wote wa KISIMA CHA MAARIFA.

#TAFAKARI YA ASUBUHI; KIKWAZO KIKUU NI HOFU…

By | April 12, 2020

“Fear defeats more people than any other one thing in the world.” —Ralph Waldo Emerson Hebu fikiria ni mambo gani ungekuwa umefanya na hatua zipi umepiga mpaka sasa kama usingekuwa na hofu? Biashara ambayo umekuwa unajiambia utaianza miaka mingi ungeshaianza tayari. Vitu vipya ambavyo umekuwa unatamani kuvifanya kwa muda mrefu (more…)

#TAFAKARI YA ASUBUHI; WASIOKUELEWA ACHANA NAO…

By | April 11, 2020

“Acquire worldly wisdom and adjust your behavior according. If your new behavior gives you a little temporary unpopularity with your peer group… then to hell with them.” – Charles T Munger Charlie Munger hapa ana ushauri muhimu sana kuhusu maisha, ambao tukiufuata mambo yetu yatakuwa mazuri sana. Anatuambia tunapaswa kupata (more…)

#TAFAKARI YA ASUBUHI; KUSUDI KUBWA, HATUS KUBWA…

By | April 10, 2020

“The further any purpose the faster we should work toward it.” —GIUSEPPE MAZZINI Kadiri kusudi la maisha yako linavyozidi kuwa kubwa, ndivyo unavyopaswa kuchukua hatua kubwa na za haraka. Tofauti na hapo utakuwa unajidanganya mwenyewe. Huwezi kuwa na kusudi na malengo makubwa, halafu ukachukua hatua za kawaida na ukategemea kufikia (more…)

#TAFAKARI YA ASUBUHI; MAZOEA HUZAA DHARAU…

By | April 8, 2020

“Familiarity breeds contempt, while rarity wins admiration.” – Apuleius Hakuna mtu anayeweza kukudharau bila ya wewe kumruhusu kufanya hivyo. Na njia ambayp umekuwa unawaruhusu watu wa kudharau ni kupitia mazoea. Kadiri watu wanavyozoea mtu au kitu, ndivyo wanavyokidharau. Kabla watu hawajazoea mtu au kitu, wanaheshimu. Wakishazoea wanadharau, wanachukulia poa. Kabla (more…)

#TAFAKARI YA ASUBUHI; UBAYA KWA WEMA…

By | April 7, 2020

To repay evil with goodness is easier, wiser, and more natural than to repay evil with evil. – Leo Tolstoy Repay evil with goodness. —The TALMUD Conquer rage with humility, conquer evil with goodness, conquer greed with generosity, and conquer lies with truth. —DHAMMAPADA Kulipa ubaya kwa wema, ndiyo kitu (more…)

#TAFAKARI YA ASUBUHI; FURAHA KUU NI WEWE KUWA BORA…

By | April 6, 2020

“The biggest happiness is when at the end of the year you feel better than at the beginning.” —HENRY DAVID THOREAU Furaha iliyo kuu ni pale unapojiona ukiwa bora mwisho kuliko ulivyokuwa mwanzo. Siku yako inakuwa ya furaha pale unapojiona uko bora zaidi mwisho wa siku kuliko ulivyokuwa mwanzo wa (more…)

#TAFAKARI YA ASUBUHI; KUEPUKA KAZI NDIYO CHANZO CHA MAOVU…

By | April 5, 2020

“It is difficult to avoid working in life without either sinning, committing violence, being a party to violence, or by flattering and pleasing the agents of violence.” – LEO TOLSTOY Chanzo kikuu cha maovu ni watu kukataa kazi. Watu wanaiba kwa sababu hawataki kufanya kazi, Wengine wanalaghai na kutapeli kwa (more…)