Category Archives: KUTOKA KWA KOCHA

Hizi ni makala kwa wasomaji wote wa KISIMA CHA MAARIFA.

#TAFAKARI YA ASUBUHI; FANYA VIZURI AU USIFANYE KABISA…

By | April 2, 2020

”Be attentive to what you do; never consider anything unworthy of your attention.” — CONFUCIUS Chochote kile unachoamua kufanya, una machaguo mawili, Unaweza kuchagua kukifanya vizuri sana, kwa viwango vya juu sana na upekee mkubwa. Au unaweza kuchagua kutokukifanya kabisa. Chaguo jingine tofauti na hayo mawili ni kupoteza muda wako, (more…)

#TAFAKARI YA ASUBUHI; USITAKE KUWA SAHIHI KILA WAKATI…

By | March 31, 2020

“Nothing can make a person’s soul softer than the understanding of his own blame, and nothing can make one harder than the desire always to be right.” —After the TALMUD Kama unataka kuwa sahihi kila wakati, maana yake haupo tayari kujifunza. Hili linaufanya moyo wako kuwa mgumu, unakuwa na kiburi (more…)

#TAFAKARI YA ASUBUHI; SHINDA VITU HIVI LEO…

By | March 30, 2020

“Try to be the master over greed, sloth, lechery, and rage.” – Leo Tolstoy Tulijifunza ushindi mkubwa na udumuo ni ushindi juu yako mwenyewe. Je ni vitu gani unavyopaswa kuvishinda kwako ili uwe na maisha bora? Vipo vingi, lakini muhimu vya kuanzia ni hivi; Ishinde tamaa na ulafi, hivi vinakuangusha (more…)

#TAFAKARI YA ASUBUHI; USHINDI WA KWELI NA UDUMUO…

By | March 29, 2020

“A victory over oneself is a bigger and a better victory than a victory over thousands of people in a score of battles. Those who have achieved victory over other people can be defeated in future battles, but those who have achieved victory over themselves become victors forever.” —DHAMMAPAD Ushindi (more…)

#TAFAKARI YA ASUBUHI; KUTOA NA KUPOKEA…

By | March 25, 2020

“Help should be mutual. Moreover, those who accept help and assistance from their brothers should pay them back, not only with money, but with love, respect, and gratitude.” – Leo Tolstoy Sisi jamii ya binadamu, tumefanikiwa kuliko viumbe wengine wote hapa duniani kwa sababu ya ushirikiano wetu. Kila mtu kuna (more…)

#TAFAKARI YA ASUBUHI; HEKALU NA FALSAFA…

By | March 24, 2020

“There is no need for temples, no need for complicated philosophies. My brain and my heart are my temples; my philosophy is kindness.” – Dalai Lama Ili maisha yako ya kiimani yakamilike, unahitaji vitu viwili, hekalu na falsafa. Hekalu ni pale roho yako inapoishi, Falsafa ni kile roho yako inaamini (more…)