Category Archives: KUTOKA KWA KOCHA

Hizi ni makala kwa wasomaji wote wa KISIMA CHA MAARIFA.

#TAFAKARI YA ASUBUHI; NGUVU YETU IPO KWENYE USHIRIKIANO…

By | March 22, 2020

“All divine and human learning can be summarized in one truth—that we are members of one big body. Nature united us in one big family, and we should live our lives together, helping each other.” — LUCIUS ANNAEUS SENECA Sisi binadamu wote ni kitu kimoja, Kila mmoja ni kiungo muhimu (more…)

#TAFAKARI YA ASUBUHI; SEHEMU PEKEE YA KUONESHA KAZI YAKO…

By | March 21, 2020

This world, only this world, is the place of our work, and all our forces, all our efforts, should be directed toward this life. – Leo Tolstoy Kwenye hii dunia ndiyo sehemu pekee unayoweza kuonesha kazi yako, Hivyo peleka nguvu zako zote kwenye kila unachofanya. Hutapata nafasi nyingine ya kufanya (more…)

#TAFAKARI YA ASUBUHI; WAPE WENGINE, LAKINI USIJIPE WEWE…

By | March 18, 2020

“Forgive other people for many things, but do not forgive yourself anything.” —PUBLILIUS SYRUS Kama kuna urahisi wowote unaoweza kuutoa kwenye maisha, basi wape watu wengine urahisi huo, ila usijipe wewe mwenyewe. Wasamehe wengine kwa makosa wanayofanya, lakini usijisamehe mwenyewe mpaka pale umerekebisha ulichokosea. Waruhusu wengine wajipe sababu ya kutokufanya (more…)

#TAFAKARI YA ASUBUHI; NJIA PEKEE YA KUTOKUWA NA ADUI…

By | March 16, 2020

“If you love your enemies, you will have no enemies.” – Leo Tolstoy Njia pekee ya kutokuwa na adui kwenue maisha yako ni kuwapenda maadui zako. Kwa kuanza kabisa, mpende kila mtu na hutakuwa jata na adui wa kumpenda. Kwa sababu unampenda kila mtu, hupati nafasi ya kumweka yeyote kwenye (more…)

#TAFAKARI YA ASUBUHI; SIYO MWISHO WA DUNIA…

By | March 15, 2020

Ugonjwa wa mafua makali unaosababishwa na vizuri vya Corona unaoendelea kwa sasa duniani, siyo mwisho wa dunia. Licha ya nchi nyingi kufunga kabisa shughuli zote za mikusanyiko na kuzuia safari za kuingia au kutoka kwenye nchi hizo, siyo mwisho wa dunia. Dunia imewahi kupitia hali za hatari kuliko hii tunayopitia (more…)