Category Archives: KUTOKA KWA KOCHA

Hizi ni makala kwa wasomaji wote wa KISIMA CHA MAARIFA.

#TAFAKARI YA ASUBUHI; TUMIA KILICHOPO…

By | March 11, 2020

“If you accept the obstacle and work with what you’re given, an alternative will present itself—another piece of what you’re trying to assemble.” – Marcus Aurelius Usisubiri mpaka upate kila unachotaka ndiyo uanze kufanya ulichopanga kufanya, Badala yake tumia kile kilichopo, kile ulichonacho sasa na anza. Uzuri ni kwamba, ukishaanza (more…)

#TAFAKARI YA ASUBUHI; SOTE NI KITU KIMOJA…

By | March 10, 2020

“Nature created us related to each other, from the same material, for the same purpose. Because of this, somewhere within all of us is mutual love for each other.” —LUCIUS ANNAEUS SENECA Sisi sote ni kitu kimoja, Tuna umoja na viumbe wote waliopo duniani. Wote tunategemeana ili maisha yaweze kwenda (more…)

#TAFAKARI YA ASUBUHI; ANAYEWEZA KUTOKOMEZA NI ANAYEUMIA…

By | March 9, 2020

“War in this world can be stopped not by the ruling establishment, but by those who suffer from the war. They will do the most natural thing: stop obeying orders.” – Leo Tolstoy Pale ambapo kuna mambo yasiyo mazuri yanayoendelea, anayeweza kutokomeza siyo yule anayefanya mambo hayo, bali yule anayefanyiwa (more…)

#TAFAKARI YA ASUBUHI; ZIMA HALAFU UWASHE…

By | March 8, 2020

“Almost everything will work again if you unplug it for a few minutes, including you.” – Anne Lamott Kama umewahi kutumia kifaa chochote cha kielektroniki, iwe ni simu, tv, kompyuta, redio n.k, unajua pale kifaa hicho kinapokusumbua, hatua ya kwanza ni kukizima na kuwasha. Yaani ku RESTART. Kabla hujakipekela kifaa (more…)

#TAFAKARI YA ASUBUHI; UKIWASIKILIZA WENGINE, HUTAPATA UTULIVU…

By | March 5, 2020

“He who always listens to what other people say about him will never find inner peace.” – Leo Tolstoy Kama mara zote unasikiliza kile ambacho watu wanasema kuhusu wewe, hutaweza kuyaishi maisha yako. Utaishia kuishi maisha ya wengine na hilo halitakupa utulivu unaohitaji kwenye maisha. Hakuna mtu mwingine anayeyajua maisha (more…)

#TAFAKARI YA ASUBUHI; DHIBITI TAMAA YA KULA…

By | March 4, 2020

“A person who overeats cannot fight laziness; and a lazy man cannot fight sexual dissipation. All spiritual teachings start with restrictions, with control of the appetite.” – Leo Tolstoy Moja ya tamaa ambazo zinawaangamiza wengi bila ya wao kujua ni tamaa ya chakula. Watu wamekuwa wanakula kupitiliza, kitu ambacho kinapeta (more…)