Category Archives: KUTOKA KWA KOCHA

Hizi ni makala kwa wasomaji wote wa KISIMA CHA MAARIFA.

#TAFAKARI YA ASUBUHI; SWALI SIYO UNAFANYA NINI, BALI UNAFANYAJE…

By | March 2, 2020

“The question is not what you look at—but how you look & whether you see.” — Henry David Thoreau Thoreau anatuambia swali siyo unaangalia nini, bali unaangaliaje na kama unaona unachoangalia. Tunaweza kujiuliza hivi kwenye kazi pia. Kwamba swali siyo unafanya kazi gani, bali unaifanyaje na kama unatoa thamani kubwa (more…)

#TAFAKARI YA USIKU; DAKIKA MOJA KWA BUKU…

By | February 28, 2020

“If we wasted money the way we waste time, we’d all be bankrupt.” – Seth Godin Kama ungekuwa unapoteza fedha kama unavyochagua kupoteza muda, basi ungekuwa umeshafilisika zamani sana. Lakini ambacho hujui ni kwamba, kuchagua kupoteza muda ni kuchagua kupoteza fedha. Hebu chukulia kwa kila dakika unayoipoteza ni tsh elfu (more…)

#TAFAKARI YA ASUBUHI; SANAA NA BURUDANI…

By | February 28, 2020

“If beautiful art does not express moral ideas, ideas which unite people, then it is not art, but only entertainment. People need to be entertained in order to distance themselves from disappointment in their lives.” —IMMANUEL KANT Sanaa ni kitu kinachowaleta watu pamoja, Ni kitu chenye maadili na misingi yake, (more…)

#TAFAKARI YA USIKU; CHUKI NI PESA…

By | February 27, 2020

Niliwahi kukuambia kwamba ukitaka fedha zaidi basi toa thamani zaidi. Leo nakuongezea kauli nyingine, ukitaka fedha zaidi, basi tafuta watu wengi zaidi wakuchukie. Kwa nini? Hii ni kwa sababu kama unataka kupata fedha zaidi, lazima ufanye tofauti na wengine wanavyofanya. Na utakapofanya tofauti, watu wataanza kukuchukia, Ndiyo maana chuki ni (more…)

#TAFAKARI YA ASUBUHI; KABLA HUJAONGEA…

By | February 27, 2020

“If you have time to think before you start talking, think, Is it necessary to speak? Will what I have to say harm anyone?” – LEO TOLSTOY Kabla hujaongea chochote, jiulize maswali haya mawili; Je ni muhimu kuongea? Je kile ninachokwenda kusema, hakitamdhuru yeyote? Ukijiuliza maswali hayo na ukajipa majibu (more…)

#TAFAKARI YA USIKU; KWA NINI UAMBIWE? JARIBU MWENYEWE…

By | February 26, 2020

Wakati unaweka mipango yako mikubwa ya fedha, kuna watu watakukatisha tamaa, wengine watakubeza. Watakuambia ya nini ujisumbue na utajiri, wakati fedha hainunui furaha, huku wakikuonesha matajiri ambao hawana furaha au hawafurahii maisha yao. Sasa iko hivi rafiki, iwe unaambiwa na wengine au unajiambia mwenyewe kwamba utajiri hauleti furaha, kwa nini (more…)