Category Archives: KUTOKA KWA KOCHA

Hizi ni makala kwa wasomaji wote wa KISIMA CHA MAARIFA.

#TAFAKARI YA ASUBUHI; USIWE MPUMBAVU, KAA KIMYA…

By | February 26, 2020

“A stupid person should keep silent. But if he knew this, he would not be a stupid person.” —MUSLIH-UD-DIN SAADI Mpumbavu anapaswa kukaa kimya, Lakini kama angelijua hilo, asingekuwa mpumbavu. Njia pekee ambayo watu wanaweza kujua ujinga wako ni kupitia yale unayoongea. Hakuna njia nyingine, Na kila mtu yuko tayari (more…)

#TAFAKARI YA ASUBUHI; KUJUA NA KUTAWALA…

By | February 25, 2020

Knowing others is intelligence; knowing yourself is true wisdom. Mastering others is strength; mastering yourself is true power. – Lao Tzu Kuwajua wengine ni akili, Kujijua mwenyewe ni hekima ya kweli. Kuwatawala wengine ni ushupavu, Kujitawala wewe mwenyewe ndiyo nguvu ya kweli. Kabla hujawajua wengine, kazana kujijua wewe mwenyewe kwanza. (more…)

#TAFAKARI YA ASUBUHI; TATIZO LA KUWADANGANYA WENGINE…

By | February 24, 2020

“We lie to other people so often that we get used to it, and we start to lie to ourselves.” —FRANÇOIS DE LA ROCHEFOUCAULD Kuna kichekesho kwamba mtu mmoja alienda kisimani kiteka maji, akakuta kuna foleni ndefu. Akajiuliza nitawezaje kuchota maji kwa haraka na kuondoka? Akapata wazo, atumie uongo. Basi (more…)

#TAFAKARI YA ASUBUHI; SILAHA YAKO KUU…

By | February 23, 2020

“People are rational creatures. Why do they seem capable of using violence so much more easily than reason in their interactions with each other?” – Leo Tolstoy Sisi binadamu ni viumbe wa kufikiri, Una uwezo mkubwa wa kufikiri na kufanya maamuzi sahihi kulingana na hali ambayo unaipitia. Lakini mara nyingi (more…)

#TAFAKARI YA ASUBUHI; NI MAKOSA YAO, SIYO KUSHINDWA KWAKO…

By | February 22, 2020

“You have no responsibility to live up to what other people think you ought to accomplish. I have no responsibility to be like they expect me to be. It’s their mistake, not my failing.” – Richard Feynman Kila mtu anajua mtu mwingine anapaswa kuwaje, anapaswa kufanya nini na maisha yake (more…)

#TAFAKARI YA ASUBUHI; DAKIKA 2, 4, 8, 16, 32 NA KUENDELEA…

By | February 21, 2020

“In Zen they say: If something is boring after two minutes, try it for four. If still boring, try it for eight, sixteen, thirty-two, and so on. Eventually one discovers that it’s not boring at all but very interesting.” – John Cage Kama kuna kitu muhimu kwako kufanya, lakini hujisikii (more…)

#TAFAKARI YA ASUBUHI; KUJISAHAU NDIYO KUWAJUA WENGINE…

By | February 18, 2020

“Only when we forget about ourselves, when we get out of the thoughts of ourselves, can we fruitfully communicate with others, listen to them, and influence them.” – Leo Tolstoy Kujisahau wewe mwenyewe ndiyo kuwajua wengine. Pale unapoacha kujifikiria zaidi wewe, ndipo unapoweza kuwasiliana vizuri na wengine, kuwasikiliza vizuri na (more…)