Category Archives: KUTOKA KWA KOCHA

Hizi ni makala kwa wasomaji wote wa KISIMA CHA MAARIFA.

#TAFAKARI YA ASUBUHI; SIKU ZA MAJARIBIO…

By | February 17, 2020

Set aside a certain number of days, during which you shall be content with the scantiest and cheapest fare, with course and rough dress, saying to yourself the while: “Is this the condition that I feared?” —SENECA Kuna vitu vingi sana unavyohofia kwenye maisha yako. Kwa kuhofia vitu hivyo, unashindwa (more…)

#TAFAKARI YA ASUBUHI; UKIWA KIJANA, MWILI NI KILA KITU, UKIWA MZEE, ROHO NI KILA KITU….

By | February 16, 2020

“The younger and the more primitive a person is, the more he or she believes that life is material and that it exists only in the body. The older and wiser a person becomes, the more he or she understands that all life originates from the spirit.” – Leo Tolstoy (more…)

#TAFAKARI YA ASUBUHI; MANENO MATATU KWA WAPENDANAO…

By | February 14, 2020

‘Say thank you every day. Say I am sorry every day. Say I love you every day.’ Ni siku nyingine nzuri, siku mpya na ya kipekee kwako kwenda kuweka juhudi kubwa ili kuweza kupata matokeo bora sana. Maisha yetu hayawezi kukamilika kama tupo peke yetu, Tunawahitaji watu wengine kwenye safari (more…)

#TAFAKARI YA ASUBUHI; MAGUMU YANAKUIMARISHA…

By | February 13, 2020

“Man needs difficulties, they are necessary for health.” – Carl Jung Kuiona siku hii nyingine mpya ya leo ni jambo la kipekee na kushukuru sana. Nenda kaitumie vyema siku hii, uweze kufanya makubwa na kupata matokeo bora sana. Hakuna mtu anayependa kupitia magumu au changamoto kwenye maisha yake. Lakini ni (more…)

#TAFAKARI YA USIKU; JIAMBIE UNACHOTAKA KUWA, KISHA KUWA…

By | February 12, 2020

“First, tell yourself what you want to be, then act your part accordingly” – Epictetus Kinachokukwamisha usifanikiwe ni kukosa msimamo, Unajiambia unataka kuwa mtu fulani, lakini unachofanya ni tofauti na wanachopaswa kufanya watu wa aina hiyo. Achana na tabia hiyo, fanya kama Epictetus alivyotushauri, Kwanza jiambie unataka kuwa mtu wa (more…)

#TAFAKARI YA ASUBUHI; TEKELEZA WAJIBU WAKO…

By | February 11, 2020

“The fulfillment of our duties and the satisfaction of our personal pleasures are two different things. Duties have their own laws, and even if we try to mix our duties with our pleasures, they will separate themselves.” —After IMMANUEL KANT Ni siku nyingine mpya ambapo tumepata nafasi ya kipekee sana (more…)