Category Archives: KUTOKA KWA KOCHA

Hizi ni makala kwa wasomaji wote wa KISIMA CHA MAARIFA.

#TAFAKARI YA USIKU; USIENDELEZE MWILI PEKEE…

By | February 7, 2020

“There is nothing more harmful to you than improving only your material, animal side of life. There is nothing more beneficial, both for you and for others, than activity directed to the improvement of your soul.” – Leo Tolstoy Hakuna kitu kibaya kwenye maisha kama kuendeleza mwili na kuisahau roho. (more…)

#TAFAKARI YA USIKU; TAMAA YA NGONO…

By | February 6, 2020

“Sexual desire is the most all-consuming of desires. This desire is never sated, for the more it is satisfied, the more it grows.” – Leo Tolstoy Tamaa ya ngono ndiyo tamaa yenye madhara makubwa sana. Ni tamaa inayochukua nguvu zako nyingi. Na ni tamaa ambayo haitosheki, kadiri unavyoitimiza, ndivyo inavyozidi (more…)

#TAFAKARI YA USIKU; ANZA KUBADILI FIKRA ZAKO…

By | February 5, 2020

“In order to change the nature of things, either within yourself or in others, one should change, not the events, but those thoughts which created those events.” – Leo Tolstoy Kama unataka kubadili kitu chochote kwenye maisha yako, anza kwa kubadili fikra ulizonazo juu ya kitu hicho. Kwa sababu fikra (more…)

#TAFAKARI YA ASUBUHI; FURAHA YAKO NI FURAHA YA WENGINE…

By | February 3, 2020

“A person becomes happy to the same extent to which he or she gives happiness to other people.” —JEREMY BENTHAM Ni siku nyingine mpya kwetu, Tumepata nafasi bora na ya kipekee sana kwetu kwenda kuweka juhudi kubwa ili kupata matokeo bora sana. Tuweke vipaumbele sahihi leo na kuvifanyia kazi. Utakuwa (more…)