Category Archives: KUTOKA KWA KOCHA

Hizi ni makala kwa wasomaji wote wa KISIMA CHA MAARIFA.

#TAFAKARI YA USIKU; HAWAJALI KIIVYO…

By | January 31, 2020

“You’ll stop caring what people think about you when you realize how seldom they do.” – David Foster Wallace Umekuwa unaogopa kuyaishi maisha yenye maana kwako, kusimamia misingi ambayo ni sahihi kwako na hata kufanya mambo kwa utofauti. Kinachokuogopesha ni jinsi gani wengine watakuchukulia na kukufikiria. Unaona ni bora uendelee (more…)

#TAFAKARI YA USIKU; HEKIMA INAWEZA KUONESHWA POPOTE…

By | January 29, 2020

“There is nothing in which real wisdom cannot be displayed.” – Leo Tolstoy Hakuna chochote kinachoweza kuzuia hekima isionekane. Hekima ya kweli inaonekana na inaweza kutumika kwenye kila hali. Jijengee hekima ya kweli na itakuwezesha kuvuka kwenye hali mbalimbali. Unazikumbuka njia tatu za kupata hekima? Zitafakari kabla hujalala na jipange (more…)

TAFAKARI YA USIKU; UHURU NA UTUMWA WA SHERIA..

By | January 28, 2020

“Submission to the law created by men makes one a slave; obedience to the law created by God makes one free.” – Leo Tolstoy Ukifuata sheria zilizowekwa na wanadamu, unakuwa mtumwa wa hao walioweka sheria hizo. Ukitii sheria zilizowekwa na Mungu (sheria za asili) unakuwa na maisha huru. Watu wengi (more…)