Category Archives: KUTOKA KWA KOCHA

Hizi ni makala kwa wasomaji wote wa KISIMA CHA MAARIFA.

#TAFAKARI YA USIKU; JE UNAFUNDISHIKA NA UZOEFU…

By | January 26, 2020

“Experience teaches only the teachable.” —Aldous Huxley Wanasema uzoefu ni mwalimu mzuri, Kwamba kile unachofanya na kupata matokeo fulani, unajifunza na kufanya kwa ubora zaidi au kutokufanya wakati mwingine. Lakini vipi wale ambao wanarudia makosa yale yale kila mara, Wale ambao kila wakati wapo kwenye madeni, Wale ambao kila biashara (more…)

#TAFAKARI YA ASUBUHI; KUTAKA SIFA NA KUKUBALIKA…

By | January 26, 2020

“You want praise from people who kick themselves every fifteen minutes, the approval of people who despise themselves?” – Marcus Aurelius Hongera sana mwanamafanikio kwa siku hii nyingine mpya, siku bora na ya kipekee sana kwetu. Ni nafaso nzuri kwetu kwenda kuweka juhudi kubwa ili kuweza kupata matokeo bora sana. (more…)

#TAFAKARI YA USIKU; MAISHA HAYANA GHARAMA, ILA MAONESHO SASA…

By | January 25, 2020

“Living doesn’t cost much, but showing off does.” – Jeffrey D. Sachs Maisha ya kawaida hayana gharama kubwa, Mtu yeyote anaweza kumudu gharama za msingi kabisa za maisha. Kinachotutesa ni maigizo, kutaka kuiga wengine na kuonekana na wewe upo. Hapo ndipo unapojikuta kwenye madeni mazito, kwa sababu tu unataka na (more…)

#TAFAKARI YA USIKU; AKILI NI KUSAKA HEKIMA…

By | January 24, 2020

A wise man seeks wisdom; a madman thinks that he has found it. —PERSIAN PROVERB Werevu hutafuta hekima mara zote, Lakini wapumbavu huamini tayari wanajua kila kitu. Kuna vitu vingi sana vya kujua, hivyo mwerevu anajua hawezi kujua vyote. Hilo linamfanya awe mnyenyekevu na tayari kujifunza wakati wote na kutoka (more…)

#TAFAKARI YA ASUBUHI; SIYO ULIPO SASA, BALI UNAKOKWENDA…

By | January 24, 2020

“It is not the place we occupy which is important, but the direction in which we move.” —OLIVER WENDELL HOLMES Tumeipata nafasi nyingine nzuri na ya kipekee sana kwetu, Tunapaswa kwenda kuitumia siku hii vyema ili kuweza kufanya makubwa na kupata matokeo bora sana. Kilicho muhimu kwako siyo pale ulipo (more…)

#TAFAKARI YA USIKU; UBAYA UNAKUTAFUNA MWENYEWE…

By | January 23, 2020

“An evil person damages not only others but himself.” —After SOCRATES Unaweza kufanya ubaya kumlenga mtu mwingine, lakini jua kwamba ubaya huo utakuwa na madhara kwako kuliko kwa unayemfanyia. Kadhalika kwa yule anayekufanyia ubaya, tambua unamdhuru zaidi yeye mfanyaji kuliko wewe mfanyiwaji. Kwa kujua hili, tujiepushe kuwafanyia wengine mabaya, Na (more…)